Ndugu zangu wana JF, nimefuatilia sana kwenye mitandao ya kijamíi kutaka kujua ugonjwa wa kiongozi wetu, aliyekuwa waziri wa fedha-Dr.Mgimwa lakini nimeambuliwa patupu. Nimesikiliza kupitia ITV wakati katibu mkuu kiongozi,Ombeni Sefue alipokuwa akithibitisha kifo chake,mwandishi alipotaka kujua alikuwa anasumbuliwa na nini, Sefue alisema,"Mimi si mtaalamu wa magonjwa." Kwa nini kuna usiri ktk hili?Mbona baba wa taifa na viongozi wengine tulitaarifiwa maradhi yao? Inawezekanaje kiongozi alazwe siku zote hìzo bila ugönjwa wake kujulikana?
Nawasilisha!!!
Nawasilisha!!!