Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

Status
Not open for further replies.

Mbusule

Member
Aug 2, 2011
87
83
Ndugu zangu wana JF, nimefuatilia sana kwenye mitandao ya kijamíi kutaka kujua ugonjwa wa kiongozi wetu, aliyekuwa waziri wa fedha-Dr.Mgimwa lakini nimeambuliwa patupu. Nimesikiliza kupitia ITV wakati katibu mkuu kiongozi,Ombeni Sefue alipokuwa akithibitisha kifo chake,mwandishi alipotaka kujua alikuwa anasumbuliwa na nini, Sefue alisema,"Mimi si mtaalamu wa magonjwa." Kwa nini kuna usiri ktk hili?Mbona baba wa taifa na viongozi wengine tulitaarifiwa maradhi yao? Inawezekanaje kiongozi alazwe siku zote hìzo bila ugönjwa wake kujulikana?
Nawasilisha!!!
 
Why iwe siri? Hata kusingizia shinikizo la damu hamna?
 
ugonjwa wa waheshimiwa

Upi huo? Mbona hata taarifa za kulazwa kwake hazikuwa wazi kama viögozi wengine? Alikuwa ni kiongozi mkubwa sana ndani ya serikali lakini ameuguzwa kama bibi yangu huko kijijini Busongo.Kuna kitu hakipo sawa hapa!
 
aliondoka kimya kimya,sijui alikuwa anaumwa nini?Huyu alikuwa NBC,mwe mitandao hii
 
Jamani mtu amekufa mnajadili kitu gani. Muombeeni kwa mungu ampunguzie adhabu na apokelewe huko aliko basi.

Naona tusiombee ili wakatae kumpokea si atarudi aje kuendelea na kazi. We wa ajabu sana; at apokelewe huko aliko. Si tayari keshafika au??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom