Niko hapa nasubiria mwanawaneKaribu mgeni, mawasiliano yako ... simu na picha wapatie Mzee wa kupambania mshamba_hachekwi Mpaji Mungu wakukaribishe hadi ndani zaidi na kukuonyesha mitaa.
Mi nakaribisha wadada hasa wanaotokea dar na viunga vyakeKaribu mgeni, mawasiliano yako ... simu na picha wapatie Mzee wa kupambania mshamba_hachekwi Mpaji Mungu wakukaribishe hadi ndani zaidi na kukuonyesha mitaa.
unafanya VIP ukaribisho🤣Niko hapa nasubiria mwanawane
Ndio maana nimekuita umuonyeshe mgeni njia.🤣Mi nakaribisha wadada hasa wanaotokea dar na viunga vyake
Aseme tu yupo ubungo maeneo gn?Ndio maana nimekuita umuonyeshe mgeni njia.🤣
Oooh sasa nimeelewa karibu sana rafiki, siku nyingine ukiandika kizungu unatuandikia na ya kiswahili.... Karibu" furaha yangu kuwa hapa (jamiiforums), natumaini tutajuzana mengi, tafadhali niruhusuni kufurahia machapisho 🙏🙂
Na id yako nyingine ni ipi sasa....Shukran sana
Kidhungu baba kinatutesa, lete cha pwani.Hi everyone! am deshanny hussein from Tz, Ubungo Dsm. am glad to be here, hope we can share alot, please allow me enjoy threads here!!