princess r
Member
- Oct 12, 2020
- 6
- 5
Hi, My name is princess r ni mgeni humu na pia nafurahi kujiunga nanyi
AsanteKaribu Sana, Upo Wapi Mgeni
Princess karibu sana!Hi, My name is princess r ni mgeni humu na pia nafurahi kujiunga nanyi
weka na kapicha princess...............Hi, My name is princess r ni mgeni humu na pia nafurahi kujiunga nanyi
Tunapata shida kupata koneksheni..😂
Connection 😁Tunapata shida kupata koneksheni..😂
Shem mi nawapendaga sana members wapya hasa wa siku hizi wamechangamka na ni wajanja mbaya kwani mie ilinichukua mwaka kujua wapi naeza kwenda na kuanzisha uzi ukafika kwenye jukwaa husika. 😂😂weka na kapicha princess...............
Kweli shemela.Shem mi nawapendaga sana members wapya hasa wa siku hizi wamechangamka na ni wajanja mbaya kwani mie ilinichukua mwaka kujua wapi naeza kwenda na kuanzisha uzi ukafika kwenye jukwaa husika. 😂😂
Asante SanaaPrincess karibu sana!
Jazia jazia nyama uzi wako kama
1.umeolewa
2.unakaa wapi?
3.umri wako
AsanteKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidipogo.
Asante12 October 2020.
Karibu