AsanteNgoja waje (kuku) karibisha akina mzabzab, SECRETARY BIRD
Upo wapi toto?Hello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Nimecheka kwa sauti sana, daaahhhhhh 😂 😂 😂 😂Dada zako ni hawa Nusratt Mshangazi dot com watakulea na kukufundisha yalilo mema. Ni madaktari
Utambulisho bila jina wala Namba ya simu haujakamilika zaby toto[/U[/B]
[/QUOTE]
Naitwa zaby jamani
Ili uwe verified ni lazima ulipie Tsh. 50,000 ili uwe platinum member na upate features zote za hapa JF kama vile kufuta mada, kuchagua watu unaotaka waone Mada zako, kufuta comments za watu wengine na mengineyo.
Karibu inbox ili nikufahamishe namna ya kul
Karibu jamviniHello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all