Karibu JF jifunze yote lakini chukua tu yale yenye manufaa kwako...hapa ni familia kubwa hivyo tarajia mengiNew member in the jf lounge looking forward to share a lot with you guys intellectually.
Mnipokee muchaga halisi from KLM ...
HAAAA........................Ningekupokea sema sijui kupost chochote zaidi ya comments
Karibu sana mkuu ila epuka mihemuko humu, maana kuna jamaaa kwenye Facebook kwaajili ya mihemuko yake ananyea ndoo au million 7 ada ya schule watt wake.New member in the jf lounge looking forward to share a lot with you guys intellectually.
Mnipokee muchaga halisi from KLM ...
Wewe ni mgeni au ID ndiyo ngeni?
Vyote vyote