Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 731
- Thread starter
- #201
Ana mwenzake proton pump katibubwa No "fap"AKA mfuasi wa drone drake , nadhani utakuwa unamfahamu ๐
Ana mwenzake proton pump katibubwa No "fap"AKA mfuasi wa drone drake , nadhani utakuwa unamfahamu ๐
Niliwahi kuolewa so kama baraka nshazipata wacha nilee kids wangu madhali mambo yangu yananiendea Barabara Sina haja na ndoa Tena!Mwanamke hapaswi kukata ndoa ndoa ni baraka
Yes nampendaKumbee haya huyo mwanamama Samantha alikuvutia sana sio?
Eeenh haya tuishie hapa kwa leo , basi mwezi huu utapokea laki 350 kwa kuanzia wenzako tunalipwa humuYes nampenda
Naingiza zaidi ya 1M per day hata kama mgekuwa mnalipwa kweli nisingekubali kupokea mshahara Wa house girl Mimi.Eeenh haya tuishie hapa kwa leo , basi mwezi huu utapokea laki 350 kwa kuanzia wenzako tunalipwa humu
Hilo ni Nick nameLady ammy ni nani yako?
Na wew pia umewahi kuamkaumelala usiku wa ma8 mchumba
Ndiyo me mgenNawe pia ni mgeni Madam ?
Umesema ukweli ndoa ni baraka kwa sis wanawakeMwanamke hapaswi kukata ndoa ndoa ni baraka
Ulikuwa guest viewer kwa muda gani ?Ndiyo me mgen
4 monthsUlikuwa guest viewer kwa muda gani ?
Oh okay You are warmly welcome to THE HOME OF GREAT THINKERS huku kila shida ya kimawazo na kiushauri inataturika kasoro hela tu ๐4 months
๐๐ Why hela jaman, nayo tuitatue๐Oh okay You are warmly welcome to THE HOME OF GREAT THINKERS huku kila shida ya kimawazo na kiushauri inataturika kasoro hela tu ๐
Na mkasi ama panga๐๐๐nayo tuitatue๐
๐๐ Hela jaman sabuni ya rohoNa mkasi ama panga๐๐๐
Pesa kumbato la hoho bhana๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Hela jaman sabuni ya roho
๐๐ Kwa kweliPesa kumbato la hoho bhana๐๐๐๐๐๐๐
Subutu kuzifanya sabun zichanike,๐๐๐๐๐
N
LololololoSiku ya jana na leo nahisi JF imeweka rekodi ya kupokea wageni wengi ndani ya muda mchache
Active naomba data tafadhali ili new members wote walipie viingilio