Usithubutu kufanya hilo jambo kama unaumwa ndugu yangu... Mwenzio kuna mtoto alitimba maghetoni ..tena mtoto mpyaaa... Nikajifanya siumwi...nilikamia shoo kama kawa... Siku ilifuata nliihisi ndiyo mwisho wangu..maana hali ilikuwa tofauti... Na shoo niliikomalia kisawa sawa kujifanya kidume...
Nakushauri ndugu yangu kama unajihis homa...mambo ya kugegeda yaache kwanza utakufaaaaaa