Mgawe upo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgawe upo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 28, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana kila kukicha alikuwa anatembea pale bandarini na kuwaambia Menejimenti kuwa anaondoka baada ya Jk kuacha kumtembelea amakuwa hajali na meli na wizi umerudi kama kawaida

  tazama wenzie wanavyo fanya kazi  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni nini hii? Unataka kusemaje? Mbona mimi sielewi? Ndugu fafanua basi!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  gt unadhani mgawe KAMA MGAWE anaweza kufanya kazi yake KWA MFUMO WA HONGKONG?yani mgawe kama mgawe?????
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ndiyo anaweza, NDIYO MAANA ALIKUBALI ALIPOPEWA KAZI HII. Na siyo lazima iwe kama mfumo wa Hongkong, ila kwa ufanisi kama wa Hongkong. Swali la kujiuliza ni kwa nini hafanyi kazi yake? Mpaka atembelewe mara kwa mara na mkuu wa nchi? Watu kama hawa ndiyo wanafaa kufunguliwa mashtaka ya economic sabotage.
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi ningejiuliza swali tofauti,NI NANI ALIYEMUWEKA HAPO WAKATI UFANISI WAKE KITAALAMU UPO CHINI?

  -NI KWANINI RAISI AMTEMBELEE NDIPO AFANYE KAZI YAKE?

  -NI KWELI KWAMBA HAKUNA WATAALAMU WA KUIFANYA HIYO KAZI TANZANIA?

  -NI KWANINI ASITUPIWE VIRAGO?
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  amaa sijui alisibwa na nini lakini kwa taarifa za watu wa ndani ni kuwa hakuna mtu ambaye alikuwa na pendwa Bandarini kama Mgawe...kuanzia Makuli mpaka kwenye menejimenti

  Then....

  Akapewa kile cheo

  of course the rest is history...nadhani cheo kilikuwa kikubwa kuliko uwezo wake, na si hivyo tuuu...ameshindwa kutranslate uwezo wake wa awali kuwa vitendo nyanja za juu..maana pale TICS ndio hawezi kuigusa kwa sababu waheshimiwa wana mikono yao...at the same time uwezo wake wa kiongoza TPA umefikia kikomo

  ukitaka kujua kama TPA wana akini ndogo tazama strategy zao za kuipanua ile bandari ndio utajua hawa jamaa wako karne ya 3 wakati wenzao wako kwingine kabisa
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Serikali ingetaka ufanisi wa china na hongkong WANGEMTOA PALE WAKAMWEKA MTU STAHILI!naona hilo hawalitaki huenda litadisturb equilibrium

  hapa gt unazungumzia hii CONTAINER STACKING YARD?
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Itabidi tu Mgawe ajiunge na jumuiya ya kiislam ili mambo yake yawe bomba
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  zote kwa sababu ukisoma blue print yao ya next 5 years ilitake into accountongezeko la makontena...lakini of course wenyewe hawapendi kuulizwa maswali kuhusu haya

  Muhimu ni kutazama hizo per diem za exploration za Hong Kong, Durban, Singapore na UAE

  Nadhani hii vita ya kuwatafuta mafisadi wakubwa itatuchelewesha

  kwa nini tusianzie na Bandari tuwapumulie mgongoni weee mpaka waseme hii nini then i am sure kutakuwa na mabadiliko makubwa tuuu

  Tazama MKJJ alivyowakomalia kuhusu Meremeta...PA ni kitego ambacho tunaweza kukibadilisha tukitaka
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  .........we can go through your plan!i am sure we will make a lots of noises which will be heard by whale-frauds
   
 11. h

  honest person New Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani tuache unafiki mgawe amejitahidi kuendesha TPA vizuri,hebu tuwe wa kweli kidogo bandari ya leo sio ile ya miaka ya nyuma iliyopita kabla hajapewa wadhifa wa kuendesha bandari.siku hizi msongamano bandarini umepungua tofauti na nyuma,leo hii gari haikai zaidi ya wiki bandarini tofauti na miaka hiyo,bandari inapanuliwa,mazingira ya kazi kwa wafanyakazi yame boreshwa.Jamani TUACHE KUANGALIA MABAYA TU NA MAZURI YAPO TENA MENGI TU ALIOFANYA YEYE SIO MALAIKA ATIMIZE KILA KITU NA MKUMBUKE MAENDELEO YANAHITAJI MUDA,YEYE NI BINADAMU TU KAMA SISI HAWEZI KUFANYA MIUJIZA AIBADILISHE BANDARI KWA MUDA MFUPIHIVYO
   
Loading...