Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.

Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKAWA wengine wana mgao?

Inaweza kuwa chanzo cha mfarakano kama hawakuweka vitu wazi toka mwanzo!

Mgawanyo wa kura walizopata wabunge.
 
Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.

Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKAWA wengine wana mgao?

Inaweza kuwa chanzo cha mfarakano kama hawakuweka vitu wazi toka mwanzo!
kasome katiba vizuri,ibara ya 76 kama sijakosea.ni inategemea wastani wa idadi ya kura halali za wabunge...
 
Mlianza Kumtabiria Atapita Kuwa Mgombea Urais Ndani Ya CCM Akakosa, Mkamtia Ndimu Baba Wa Watu Ahamie CHADEMA Kwa Kumpa Matumaini Kuwa Anakubalika Na " Wapumbavu Na Malofa " Wengi Akakubali Na Kuingia Kichwa Kichwa Ameukosa Urais Sasa Tena Bila Hata Haya au Aibu Mnataka Mumtie Tena AIBU Ya Kufungia Mwaka Agombee Uspika Ambapo Hata Huko Napenyewe Atakosa. Hivi Lowassa Huwa Hana WASHAURI WANAOJITAMBUA? Kama Kawaida Yangu Nimekuwa Nikisema Mambo Na Yanatimia. Nilianza Na Kusema Dr. Magufuli Atapita CCM Na Nikasema Tena Atakuwa Rais Na Juzi Nikasema Waziri Mkuu Atakuwa Kati Ya Dr. Mwakyembe au Prof. Muhongo Na Sasa Nasema Kuwa Piga UA Spika Wa Bunge La JMT Ni Kati Ya Mussa Zungu au Job Ndugai au Samwel Sitta Na kupitia Wewe POPOMA Wa UKAWA Mwambie Kabisa Lowassa Kuwa ASIJISUMBUE Na Aende Sasa AKACHUNGE Ng'ombe Zake Kule MONDULI Huku Akilea Tu Wajukuu Zake Na Atuache Sasa CCM Na Serikali Yetu Ijayo Tufanye Kazi Ya Kuwaletea MAENDELEO Ya HAPA KAZI TU Watanzania.
lowassa anakutoa mapovu kuliko hata sabuni ya omo kudadeki ! Unatia aibu sana !
 
Chadema wawe na utaratibu wa kuwahamasisha na kuwajenga wabunge wa viti maalum kugombea majimboni 2020. Hii itasaidia kupunguza wale "safari ya mamba nao kenge wapo", kuongeza idadi ya wabunge hasa wanawake na kufanya bunge kama "Mafao Lounge".
 
Mti wenye matumda ndo unao pigwa mawe sana.... tunajua hii ndo njama yenu iliyo baki kwenu Magamba... mbowe yupo na atakuwepo.... wapimzani mahili tz ni Mbowe, seif na babu Duni... hawa hawana bei na kichwa kinawauma.....
Mwenzako Seif yupo Ikulu ameshalegea....we endelea kupiga kelele tu
 
Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.

Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKAWA wengine wana mgao?

Inaweza kuwa chanzo cha mfarakano kama hawakuweka vitu wazi toka mwanzo!
Kama mzazi wako alikuwa anakulipia school fees nampa pole kwa kupoteza pesa yake bora angenunulia ugoro tu, ila kama wewe ni product ya Mulugo well n good.
 
Kwa chadema hivyo ni viti vya ndugu, jamaa, marafiki na mahawara.

Ushahidi ni bunge lililopita.

Mtumishi wa Mungu aliyehai Nabii T.B.JOSHUA kaja Nchini kushuhudia Kuapishwa kwa Rais Mteule John Joseph Magufuli.Bila shaka ataondoa Mapepo yote yanayowazunguka Viongozi.Naamini baada ya Mh.Rais John Joseph kuanza kazi nawe ufahamu utakurudia.
 
umoja wa ukawa umeathiri cuf kwenye viti maalum?
CUF ilikuwa na wabunge wawili tu bara, rudi shuleni muulize mwalimu wako wa somo la hisabati akufundishe tena upya kujumlisha, kuzidisha na kutowa. utapata jibu la CUF ndani ya UKAWA tena bila ya LIPUMBA.
 
Mtumishi wa Mungu aliyehai Nabii T.B.JOSHUA kaja Nchini kushuhudia Kuapishwa kwa Rais Mteule John Joseph Magufuli.Bila shaka ataondoa Mapepo yote yanayowazunguka Viongozi.Naamini baada ya Mh.Rais John Joseph kuanza kazi nawe ufahamu utakurudia.
Yale majini aliyoyaacha Sheikh Yahya kwenye ikulu yetu leo mwisho wake, au Mkwele aondoke nayo kabla ya damu ya Yesu haijayaangamiza.
 
Jamani msimsahau yule mama wa cdm aliekuwa akigombea ubunge jimbo la Namtumbo.

yule ni wa cuf angekuwa cdm nadhani angepata. cuf wana viti vichache mno hivyo hawawezi kumpa
 
Anna Mngwiru wa ACT alikuwa Chadema Miaka yote lakini hakuwahi kufikiriwa Viti Maalum pamoja na uwezo wake mkubwa sana wa Uelewa na kujieleza aliowazidi wagombea wote 7 wa Urais 2015 .Naamini aliwazidi wabunge wengi tu wa Viti Maalum katika bunge lililoisha

Viti maalum kutoka Vyama vyote hutumiwa kama Shukran na kuridhishana ndio sababu inaonekana hawana kazi kwa kuwa wengi wao sio Competent.
Basi mpe wewe.
 
Sasa Aibu Yangu Mimi Na Yake Ya " KUNYA KUNYA " Hovyo Ipi IMETUKUKA?
Uzuri sasa hivi IP Address yako ikitakiwa na kitengo JF hawana uwezo wa kupinga amri ya kitengo, endelea roporopokutukana tu binadamu wenye uwezo hata wa kuimiliki pumzi yako. bora mwenzio Yericko wamemfikisha mahakamani wewe sijui hatma yako.
 
Back
Top Bottom