MGAO wa UMEME

hata mimi nilihisi hivyo maana wiki iliyopita tulikatiwa sana umeme kwenye jimbo letu la uchaguzi la ubungo!
 
Umeme umekatwa eneo la kigamboni.
vipi kwingineko?

wakuu kama umeme umerudishwa mtutaarifu.

BADO TUNAPANDAA
TUNAPANDA MILIMAAAAH!
 
Umeme umekatwa eneo la kigamboni.
vipi kwingineko?

wakuu kama umeme umerudishwa mtutaarifu.

BADO TUNAPANDAA
TUNAPANDA MILIMAAAAH!

pole sana....karibu kwangu japo naona umeme wenyewe umeanza kukonyeza....dunia ina visa hii
 
..halafu tunaambiwa uchumi unakua ilhali nchi ipo gizani. tanzania kwa mazingaombwe lol

Wito wangu ni kwamba CHADEMA waweke bajeti ya taa za chemli na tochi za kutumika kwenye zoezi la uhesabuji wa kura endapo umeme utazima ghafla.
Ahsante Baba-Enock kwa kutuhabarisha

Ha ha ha you made my day broda, una kipaji ambacho bado hujakigundua~uchekeshaji ha ha ha!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom