Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Haya ni maelezo ya mjumbe wa kamati ya bunge ya nishati na madini;
"maelezo ya kwamba mgawo huu umesababishwa na mitambo ya IPTL kuzalisha MW 10 badala ya MW 100 kutokana na upungufu wa mafuta mazito(HFO) yanatosha kwa serikali kuwajibika kutokana na uzembe wenye kulitia hasara taifa kwa sababu suala hili lilikuwa likijulikana kwa miezi mingi bila hatua stahili kuchukuliwa.Aidha serikali ieleze ukweli kwamba waziri ngeleja alitoa kauli potofu bungeni tarehe 15 february na Rais kikwete alitoa ahadi hewa kupitia hotuba yake kwa taifa tarehe 1 april kuhusu ukodishaji wa mitambo ya Mw 260 kwa ajili ya umeme wa dharura kuanzia julai"
source:fb status ya john mnyika(M.P)