Mgao wa umeme ubalozini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa umeme ubalozini.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Landala, Mar 7, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Juzi baada ya rais Kikwete kutoka ufaransa alipitia Marekani na alipokelewa na Obama mida ya usiku,walivyokuwa wanatoka airport kwenda hotelini sehemu zote kuna umeme isipokuwa jengo moja,Kikwete akashangaa na kumuuliza Obama hivi hata marekani kuna mgao wa umeme,Obama akamuambia hapo ni ubalozi wa Tanzania.Kikwete kusikia hivyo akawa kimya kama maji ya mtungi.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Dah! u have made ma day really!!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ha haaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaa..................mkuu nimeipenda hiyo,unafaa kujiunga na shigongo kuendeleza mashambulizi ya hadithi ila hiyo inabidi itumwe ikulu hiii
   
 4. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Tuko pamoja mkuu.
   
Loading...