Mgao wa pombe na Ngono

Mgao wa pombe na Ngono

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Mmetuletea mgao wa maji tumekubali,mgao wa umeme tumezoea,na sasa mgao wa mafuta tumekubali,lakini chonde chonde msije mkatuletea na mgao wa pombe na ngono!......hapo atutaelewana kabisa kabisa,maana hizo ndio zinatusaidia kupata usingizi na kupunguza mawazo!!!!!
 
Wengne wanajivunia pesa, wengne wanajivunia dhambi
 
Mmetuletea mgao wa maji tumekubali,mgao wa umeme tumezoea,na sasa mgao wa mafuta tumekubali,lakini chonde chonde msije mkatuletea na mgao wa pombe na ngono!......hapo atutaelewana kabisa kabisa,maana hizo ndio zinatusaidia kupata usingizi na kupunguza mawazo!!!!!
<br />
<br />
wewe usiyemjua mungu.
 
oooops eee mwenyezi Mungu wasamehe hawa viumbe kwani hawajui watendalo....................huh
 
Mmetuletea mgao wa maji tumekubali,mgao wa umeme tumezoea,na sasa mgao wa mafuta tumekubali,lakini chonde chonde msije mkatuletea na mgao wa pombe na ngono!......hapo atutaelewana kabisa kabisa,maana hizo ndio zinatusaidia kupata usingizi na kupunguza mawazo!!!!!

Kama hujawahi kuona wabongo wanaandamana basi ni siku utakapoanza huo mgawo!
 
Hao wanaojifanya kuhamaki humu ndiyo wa kwanza kushika mabango, tena bora pombe watavumilia lakini ngono...mh, ni tamu bwana
 
Back
Top Bottom