samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,016
- 1,220
Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
jibu serious basiKunguru wanaharibu mfumo bhana
Kiukweli huku mimi nilipo umeme wala hawakati na wakikata basi ndani ya dakika kumi unarudi.Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
Vp tena mbona tuliambiwa na Magufuli tuna ziada ya umeme? Au haikuwa kweli?!Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
Bado tu hamjamkumbuka Mwamba?
Sisi tuna tabia vumilivu**chini serikali *sikivuHuyu mama nchi ilishamshinda lakini hataki kuukubali ukweli.Ashukuru tu watanzania in wavumilivu sana.Ingekuwa nchi nyingine wasingekubali kuvulia haya mateso na wangekuwa wameshamtoa madarakani hata kwa nguvu
Sio wavumilivu ni wajinga wasiojua haki zao za msingi.. haiwezekani mtu unakatwa kodi mpka tozo afu bado basic services kutoka serikarini uzipate kwa kuunga unga...Huyu mama nchi ilishamshinda lakini hataki kuukubali ukweli.Ashukuru tu watanzania in wavumilivu sana.Ingekuwa nchi nyingine wasingekubali kuvulia haya mateso na wangekuwa wameshamtoa madarakani hata kwa nguvu
Inasikitisha sana, alafu tumeka.a .....Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?