Mgao mkali wa umeme Tanzania

mvua akuna wajameni,kama mvua akuna umeme na maji aviwezi kuwepo.
suluhisho la serikali yetu ni kuwaomba viongozi wa dini waombe mvua hilo ndo suluhisho tunalotumia miaka yote 60 ya uhuru.
 
Inawezekana kweli ule mpango wa kina february aliougundua Jiwe akamtumbua ndio umerudi sasa wamekata toka jana saa 1 asubuhi ndio unarudi saa hizi itakuwa kweli wanataka kutuuzia majenereta kilazima jamaa inaonekana walitupania sana. Yaani kwenye kombe la dunia ndio wameona wauzime.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom