mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,827
Reaction score
3,100
msaada wanajamii wiki hii naenda kwenye interview sasa naitaji mganga wa kunifanyia dawa kidogo si unajua lazima tuenzi mila nataka nivutie wale wajamaa wa interview nikitoka tu wawe wananiwaza waza 2 msaada jamani
 
Kwani huwezi kusali? mganga unayemtumia kila wakati ameshindwa kazi hii?

na inaelekea wewe hufai katika hiyo kazi as unajua utafeli na si ukae tu nyumbani utafute kazi ya uwezo wako.

Sasa hizo dawa let's say zinafanya kazi, kazi ukipata utatumia akili ya nani kuwajibika?
 
Nafuatilia sana thread zako,
ipo siku utakuwa unahitaji msaada wa kweli watu wakakujibu kwa kadri ulivyozoeleka!
 
nitaanza kupuuzia nyuzi zako kama jinsi ambavyo huwa napuuzia za R.B huku MMU
 
Last edited by a moderator:
Kwani mganga aliekusaidia ukapata vyeti na ukawa shortlisted keshafariki? Hana kaimu? Ongea na mkewe manake mganga akikosekana mkewe anaagua!
 
Mganga yupo namfahamu anaitwa YESU KRISTO anahitaji moyo wako wa uaminifu mwite katika maombi yako Yeremia 33.3 hakika utapita katka interview yako yeye n zaidi ya wengne uwezo wake ni mkuu
 
msaada wanajamii wiki hii naenda kwenye interview sasa naitaji mganga wa kunifanyia dawa kidogo si unajua lazima tuenzi mila nataka nivutie wale wajamaa wa interview nikitoka tu wawe wananiwaza waza 2 msaada jamani

imeandikwa amelaaniwa yeyote amtegemea binadamu mwenzake na miungu na kumuacha Baba yetu wa mbinguni. Tubu haraka la sivyo hutapita. Mkabidhi shida yako Mungu kwan akiamrisha hata mapepo hutiii
 
me nataman kukuona nahisi una kipaji cha kuchekesha i mean commedian so ntacheka hadi nilegee
 
Kama sikosei huyu mdau jana alianzisha mada humu aambiwe training ya tra ni saa ngapi kwani leo alipaswa aane training.
Leo anakuja na hili la interview na mganga.....!
 
Kwani mganga aliekusaidia ukapata vyeti na ukawa shortlisted keshafariki? Hana kaimu? Ongea na mkewe manake mganga akikosekana mkewe anaagua!

Kwani hivyo vyeti si vyake ua alighushi?
 
njoo kwangu naweza kukusaidia. ila malipo njoo na dem wako umuache ofisin hapa
 
mie ninajuwa dawa ambayo ukitumia hata interview huitaji kwenda just barua ya kuomba kazi na vyeti then unaitwa kazini bila hata interview...vip unahitaji?
 
nakupataje kaka nipe namba zako
 
[JFMP3][/JFMP3]
hiyo ndiyo nzuri nipe nipe fasta dah
 
Kama sikosei huyu mdau jana alianzisha mada humu aambiwe training ya tra ni saa ngapi kwani leo alipaswa aane training.
Leo anakuja na hili la interview na mganga.....!

anaglia vizuri kaka umenichanganya
 
msaada wanajamii wiki hii naenda kwenye interview sasa naitaji mganga wa kunifanyia dawa kidogo si unajua lazima tuenzi mila nataka nivutie wale wajamaa wa interview nikitoka tu wawe wananiwaza waza 2 msaada jamani

Inaonekana hata shule yako umeipata kwa kuenzi mila. Ulikuwa umewafanya NECTA pamoja na maprofesa wanakuona una akili nyingi kwa njia hyo. Mwamini MUNGU aliyetenda kwa wengine atatenda na kwako pia.
 
hamna haya mambo mbona yapo hata mjomba wangu alimpulizia bpsi wake dawa fulani hv za unga unga akapanda vyeo fasta kama vitatu
 
Back
Top Bottom