mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

Acha kupenda ushirikina dogo, muombe MUNGU wako
 
niletee mbuzi wa kijani nikufanyie madikodiko
attachment.php
 

Attachments

  • nkoba.jpg
    nkoba.jpg
    25.3 KB · Views: 195
Watu kama nyie ndio majanga ya nchi hii
Nenda kawaulize basi unaowajua wamefanikiwa kwa hizo vitu wakupeleke
 
Wewe jamaa kuotwa hata hujaitwa unaongelea mambo ya interview

mimi hii kazi mbona napata nina mganga wangu huyo anaitwa mzinga wa radi yupo bagamoyo balaa sema kasafiri kaenda naigeria
 
msaada wanajamii wiki hii naenda kwenye interview sasa naitaji mganga wa kunifanyia dawa kidogo si unajua lazima tuenzi mila nataka nivutie wale wajamaa wa interview nikitoka tu wawe wananiwaza waza 2 msaada jamani

Mtafute "daimondo" akupeleke kwa mafundi wake
 
Mganga yupo namfahamu anaitwa YESU KRISTO anahitaji moyo wako wa uaminifu mwite katika maombi yako Yeremia 33.3 hakika utapita katka interview yako yeye n zaidi ya wengne uwezo wake ni mkuu
When I was a young lad I used to pray for a new bicycle , When I realized the Lord does not work in that way , I stole one and prayed for forgiveness...
 
Mganga ni uwezo wako tu na wala tusidanganyaneq, tuache ndoto za Abunuasi zisizo na mashiko..komaaa kama upo shalo kamua ucku kucha, hizo habari za mganga unaweza fika kwenye interview unapoingia tu intervieweee wote wanatoka kwa speed kumbe hujijua umeguzwa simba.. mdauuuuuuuuuuuuuuuuuu kuwa makin
 
Nakupa siri sema Hivi, Bwana Yesu najiweka mbele yako mwili na roho yangu niongoze nilinde, nikutumikie na kkuabudu, then your first slary peleka sadaka 10% tu. Yaani utakuwa umefunga kila kitu kibaya juu yako. Ingawa unaonekana unatania,
 
Back
Top Bottom