Mganga wa kienyeji (Prof. Maji Marefu) akaimishwa Wizara ya Afya

Porofesaaaaaaa........ doktaaaaaaaa..................... long water........ tall water......... health....... afyaaaa............ panadol + kolorokwin + malarakwin + tetracycline + tunguri + miziziology = HIV cure discovered in Tanzania.
 
Kuthibitisha kwamba Serikali ya CCM ina shida kubwa ya ukosefu wa watu wenye sifa kuwa mawaziri, leo bungeni Mganga wa kienyeji al maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu amekaimishwa kwa muda Wizara ya Afya na hivyo kuwasilisha mezani hotuba ya Waziri wa Afya ya bajeti ya 2013/2014.

Maneno hayo........

Walemavu wa Ngozi nawaombeni mkae chonjo maana "Sangoma On Duty"
 
Du!!... hii sasa kali, nimeamini kweli bora liende... Hii inanikumbusha mwaka jana yule sokwe aliposoma hotuba ya wizara ya maji wakati mwandosya akiwa india kwa ugonjwa...
 
Kuthibitisha kwamba Serikali ya CCM ina shida kubwa ya ukosefu wa watu wenye sifa kuwa mawaziri, leo bungeni Mganga wa kienyeji al maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu amekaimishwa kwa muda Wizara ya Afya na hivyo kuwasilisha mezani hotuba ya Waziri wa Afya ya bajeti ya 2013/2014.

Maneno hayo........

Hivi huyu nae ni great thinker kweli? Sasa huyu na Maji Marefu nani ana afadhali katika uelewa?Maana angalau huyo Maji Marefu alijua alichokua anasoma kuliko wewe unaembeza hata hujui alichokuwa anasoma.
Hivi Mbunge anaweza kukaimishwa Uwaziri(Mbunge na serilkali ni mihimili miwili tofauti) Tuepuke watu wa aina hii ambao wanaweza kuupotosha Umma kwa taarifa ambazo zinaweza hata kuliangamiza Taifa hili. Kwa comment za wachangiaji wa thread hii wakisapoti huu ujinga (ignorance) umedhihirisha pia uelewa wa idadi kubwa ya wanajamvi humu ndani.Kwa staili hii, Taifa hili linatengeneza kizazi kichovu sn, kizazi ambacho hakiwezi kuchanganua mambo kwa kutumia hoja na ukweli wa jambo (facts) lkn husapoti lolote lile ili mradi liwe linamfurahisha katika mrengo fulani na kupinga lolote ambalo halimfurahishi ht km lina ukweli ndani yake.
Alichowasilisha Mh. Stephen Ngonyani Bungeni ni Taarifa ya Kamati ya Huduma za Jamii kwa niaba ya M/Kiti, kwa kuwa yeye ni mjumbe wa kamati hiyo na wala hajakaimu.
 
Mawaziri husika walikuwa wapi?
Ni kigezo gani hutumika kumkaimisha Mbunge nafasi ya kusoma hotuba ya Wizara husika?

Hawa naona wameamua tu (nafasi ya kusoma hotuba) kwa kuwa ni msisiem mwenzao! Tanzania..........!
 
Prof Maji Marefu,Dr. Kikwete,Dr Nchimbi, vyote ni vyeo vya viongozi vya majukwaani sio vya usomi.Kama raisi ni dokta kwa nini mganga wa kienyeji asiwe waziri?Mnahoji kituo cha polisi kuwa karibu na raia?Baba mwenye minyoo hatakosa kuwa na watoto wenye minyoo pia.

Nchimbi baada ya kuumbuliwa na Msemakweli kwenye orodha ya mafisadi wa Elimu,alirudi Mzumbe kusoma doctrate,therefore ni daktari halali(Kama alimaliza kweli masomo yake)
 
Leo ndio nimeamini kwamba members wengi ni mbumbumbu...kwa akili ambayo haina mtindio wa ubongo huwezi kushabikia mada za uongo.hakuna ukweli hapa..maji marefu amewasilisha hotuba kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya huduma za jamii huyu anasema kwa niaba ya waziri na mamburula yanashabikia
 
Hapa ikija mada inasema Binadamu ana miguu mitatu mijitu itasema ni kweli na utashabikia. Sawa kabisaa na ushabiki kwenye thred hii
 
Kuthibitisha kwamba Serikali ya CCM ina shida kubwa ya ukosefu wa watu wenye sifa kuwa mawaziri, leo bungeni Mganga wa kienyeji al maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu amekaimishwa kwa muda Wizara ya Afya na hivyo kuwasilisha mezani hotuba ya Waziri wa Afya ya bajeti ya 2013/2014.

Maneno hayo........

Hii ipo jukwaa la jokes na udaku?
 
Mbona chadema kuna wahuni hatuwasemi? Heri ya huyu mganga anayetibu watu...ukiwa na ngiri aka mnyama ndio utaona umuhimu wa pro maji marefu
 
Kumbe chiku abwao ambaye ni mtaalam wa kufungua bar amechukua uzoefu wa mh mbowe kule kwenye bar yake pale ktkt ya jiji
 
Kuthibitisha kwamba Serikali ya CCM ina shida kubwa ya ukosefu wa watu wenye sifa kuwa mawaziri, leo bungeni Mganga wa kienyeji al maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu amekaimishwa kwa muda Wizara ya Afya na hivyo kuwasilisha mezani hotuba ya Waziri wa Afya ya bajeti ya 2013/2014.

Maneno hayo........

Hawapendi hilo jina ulilotumiaa....WANAITWA WAGANGA WA JADI!!! Sasa umemuita wa KIENYEJI wakati ni MHESHIMIWA....Jiandae kwa kesi kama siyo ya KIENYEJI basi ya KIHESHIMIWA dhidi yako
 
Mtu kama sugu eti naye ni waziri kivuli, hii nchi tumefika pabaya sana, wahuni kama lema eti mshauri wa mbowe bungeni kwa wizara ya uongo ie kivuli ya mambo ya ndani, kazi tunayo hapa..
 
Back
Top Bottom