Mganga mnigeria

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
Bongo tunaibiwaje kiulaini, hili bango lipo masaki hapa, sijajua wateja wake ni kina nani , na je huyu mpopo analipia hili bango?
 
Waganga wote wanatibu Nguvu za Kiume,Mapenzi,Pesa!!!kuna mwingine yuko Mbagala huyo anatokea Moshi,nilicheka sana nikaona sasa watani wa jadi wameingilia fani mpya!!
 
Ongeza babu ambilikile wa llliondo
 
Mbona mkulu kawapa mpaka uraia Wanaija wamsafishie nyota?
 
...Biashara siku zote huangalia uhitaji wa walaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…