Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Ndugu yangu watu wameshamsahau MunguBible (Hosea 4:6).
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ..
Bible (Hosea 4:6).
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa….."
Ndugu yangu watu wameshamsahau Mungu
......Wana-angamizwa.......na kwa sabab wameyakataa hayo maarifa, mimi nami nimewakataa.....
Ongeza babu ambilikile wa llliondo
Babu wa Loliondo hawezi tajwa tena! Utagusa imani za watu
Sent from my IPhone using Tapatalk
Unafanyaje hadi ikwambie sent from i phone?
Ongeza babu ambilikile wa llliondo