#COVID19 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, Tumbi Hospital adaiwa kulazimisha watumishi kuchanjwa kinyume na hiari yao

Nguvu ya beberu sio poa hata kidogo, beberu kahakikisha tunachanja, lazima tuchanje coz tunapewa pesa za bure na mikopo nafuu. Jiulize beberu ana interest gani na mwafrika, kumlazimisha mambo yake ya ndani kabisa?

These mofos are imbeciles!
Conspiracy theories....

Kwa hiyo hata hizi chanjo dhidi ya magonjwa ya watoto ,huyo beberu anatumaliza nazo?!!!

Tunameza vidonge vya UKIMWI kila siku kwa hiyo beberu anatuchakaza nazo?!!

Tunakunywa soda kama COCACOLA NA PEPSI..."materials" yanatoka nje...kwa hiyo BEBERU HUYO anatumaliza eeee?!!!😳😳🤣🤣
 
Hata nikisema ndio hutaamini mkuu maana umeshabwaga moyo chini na kuamini na kukubali na kuabudu kila kitu.
 
Conspiracy theories....

Kwa hiyo hata hizi chanjo dhidi ya magonjwa ya watoto ,huyo beberu anatumaliza nazo?!!!

Tunameza vidonge vya UKIMWI kila siku kwa hiyo beberu anatuchakaza nazo?!!

Tunakunywa soda kama COCACOLA NA PEPSI..."materials" yanatoka nje...kwa hiyo BEBERU HUYO anatumaliza eeee?!!!
Why are they forcing everyone to vaccinate? Kwani ikiwa hiari kuna tatizo gani, ushawahi kuona mtu kalazimishwa kutumia ARV?

Interest ya beberu ni kukuexploit wewe usiye na kitu, uvuje damu na jasho ili yeye aendelee kupiga pesa. Unadhani hivyo viwanda vilivyotengeneza dawa vita survive vipi kama wote tukikataa kuchanja, au unadhani wanakupenda sana wewe mmatumbi?
 
Mtachanjwa tu mtake msitakeee
Kwa maslahi ya nani? Unajua sisi tuko tayari kufa kuliko kuchanjwa? Hakuna tusi, kebehi wala nguvu yoyote utakayotumia itakayokufanikisha dhamira yako ya kulazimisha ili muwe wengi.

Sisi tumejiandaa kuuawa, wala mauti haituumi. Kwa hiyo wazo lako baki nalo mwenyewe. Usidhani watu wote wamewekeza akili puani.
 
mkuu, hudhani kuwa hiyo inatuma ujumbe ambao mtu anapaswa kuutafakari? Wenzetu kama watu wa afya ambao wana experience ya miaka wanapofanya hivyo halafu sisi tusio na experience yoyote tunataka kuwa walimu, huoni kuna walakini?
Unataka kusema kuwa hakuna watu wa kada ya afya WALIOKWISHA kuchanja na walio na UZOEFU HUKO MAKAZINI kwao ?!!!!

Kama sivyo basi ujue kuwa wengi wanaoipinga chanjo wako katika kundi lako:-

1)Wametekwa na mkumbo wa UJINGA wa wanasiasa walio/wanaopinga CHANJO bila ya kuwa na "FACTS"....

2)Wanazipinga KIDINI NA KIIMANI(Sawa na wale wanaokataa kuongezewa damu)....

3)Ushabiki tu wa "mitaani" usio na tija kisomi....
 
CHANJO NI BORA KULIKO TIBA....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
Waliochanjwa chanjo moja ulaya waliendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na baadhi kufa, wakaongeza ya pili lakini pia waliendelea kuambukizwa, kuambukiza na kuugua na wengine kufa, na sasa wameambiwa wachane ya tatu!! Kisha waendelee kuchanja booster mara kwa mara! Wewe hako kachanjo kamoja katakufikisha wapi?? Inabidi akili iende likizo kwanza ili mtu aamini kuwa hiyo chanjo itamlinda!! Kama wengine haijawalinda wewe itakulindaje?

Kinachofanyika ni shinikizo toka kwa mabeberu kwa viongozi wetu na hawana namna ya kulisema hili kwa wazi! Wao wenyewe hawaamini hayo wanayoyasema!! Wanalazimika kuyasema tu ili kuwaonesha mabeberu kuwa wanatekeleza masharti yao!! Hizo safari za mara kwa mara za Blair ni sehemu ya shinikizo la mabeberu! Blair hana ujumbe mwingine zaidi ya kushinikiza biashara ya chanjo za corona!
 
America huko wameshawishi mpaka wakafikia pa kutangaza kuwalipa watu hela ili wachanje lakini bado wengi hawataki hayo mavitu
 
Why are they forcing everyone to vaccinate? Kwani ikiwa hiari kuna tatizo gani, ushawahi kuona mtu kalazimishwa kutumia ARV?

Interest ya beberu ni kukuexploit wewe usiye na kitu, uvuje damu na jasho ili yeye aendelee kupiga pesa. Unadhani hivyo viwanda vilivyotengeneza dawa vita survive vipi kama wote tukikataa kuchanja, au unadhani wanakupenda sana wewe mmatumbi?
ARVs si dawa dhidi ya UGONJWA unaoambukizwa kwa njia ya hewa.....

Kwa hiyo ndani ya COCACOLA NA PEPSI wangetaka kutuua hawatupati?!!!

Naomba unijibu na hili....
 
Matatizo yote yanaanzia hapa👇

20211001_082315.jpg
 
ARVs si dawa dhidi ya UGONJWA unaoambukizwa kwa njia ya hewa.....

Kwa hiyo ndani ya COCACOLA NA PEPSI wangetaka kutuua hawatupati?!!!

Naomba unijibu na hili....
Hili swala limekuwa waliochanja against wasiochanja... Kwa dunia there will always be an equal opposite force. Hili swala lingeeenda kimya kimya yawezekana tungekuwa mbali zaidi... Inapoanzia kumandate ndipo unatengeza rebels.

Hata hivyo tunachanja tunapata uviko, tunaugua,.tunasambaza na tunakufa. Booster haziji kirahisi.. kifupi I feel like tumekimbia haraka, hatujajiandaa. Umechanjwa umeshapata booster shot!?
 
mkuu, hudhani kuwa hiyo inatuma ujumbe ambao mtu anapaswa kuutafakari? Wenzetu kama watu wa afya ambao wana experience ya miaka wanapofanya hivyo halafu sisi tusio na experience yoyote tunataka kuwa walimu, huoni kuna walakini?
Kwa kuwa huna general knowledge kiasi hicho, hupashwi kusimamia upande wowote kwa sababu hakuna uanchokijua kati ya hoja za pande zote mbili.

Kwa taarifa yako, kila mtu ana entitlement ya kutoa personal opinions. Kama hakuna unachokijua, unanyamaza na si ku take sides.
 
Waliochanjwa chanjo moja ulaya waliendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na baadhi kufa, wakaongeza ya pili lakini pia waliendelea kuambukizwa, kuambukiza na kuugua na wengine kufa, na sasa wameambiwa wachane ya tatu!! Kisha waendelee kuchanja booster mara kwa mara! Wewe hako kachanjo kamoja katakufikisha wapi?? Inabidi akili iende likizo kwanza ili mtu aamini kuwa hiyo chanjo itamlinda!! Kama wengine haijawalinda wewe itakulindaje??
Kinachofanyika ni shinikizo toka kwa mabeberu kwa viongozi wetu na hawana namna ya kulisema hili kwa wazi! Wao wenyewe hawaamini hayo wanayoyasema!! Wanalazimika kuyasema tu ili kuwaonesha mabeberu kuwa wanatekeleza masharti yao!! Hizo safari za mara kwa mara za Blair ni sehemu ya shinikizo la mabeberu! Blair hana ujumbe mwingine zaidi ya kushinikiza biashara ya chanjo za corona!!
Ushahidi huna zaidi ya "conspiracy theories" na Ushabiki tu.....

Well....

CHANJO DHIDI YA POLIO KWA WATOTO WADOGO zinatolewa mara 4.......nalo pia unapinga?!!!

CHANJO DHIDI YA PEPOPUNDA KWA WATOTO hutolewa MARA 5 kwa kuchomwa "mama kabla/wakati wa ujauzito" nalo unapinga?!!!😳🤣🤣
 
Itakuwa upumbavu kwa watumishi wa sekta ya afya kukataa kuchanja wakati wao wapo katika mazingira hatarishi ya kuambukizwa Covid-19 kuliko kada yoyote. Ilipaswa iwe lazima.

Ni mpumbavu peke yake ndiye atakayewalaumu wafanya kazi wa wizara ya afya wakikataa kuchanja kwa kuwa wana nafasi ya kusikia propaganda, kuona matokeo ya chanjo ya muda mfupi, na scientific confidence juu ya uwiano wa madhara na faida za chanjo hiyo kwa muda mfupi na muda mrefu.
 
Nguvu ya beberu sio poa hata kidogo, beberu kahakikisha tunachanja, lazima tuchanje coz tunapewa pesa za bure na mikopo nafuu. Jiulize beberu ana interest gani na mwafrika, kumlazimisha mambo yake ya ndani kabisa?

These mofos are imbeciles!
Hizo pesa siyo za bure hata kidogo!! Ni mkopo wa muda mrefu na si nafuu kama unavyofikiri. Hayo matrilioni wanayotukopesha kwanza hayana faida kwetu, pili yanarudi kwao kwa kuwa chanjo tutanunua kwao, na kisha tutae delea kulipa deni kizazi na kizazi na kabla deni halijaisha wanakulazimisha ukope tena!! Maana wameutengeneza huu ugonjwa uwe endelevu!!

Kwa hiyo tutakuwa watumwa wa kufanya kazi ili kjlipa mkopo vizazi vyote vijavyo!! Mabeberu hawafai! Viongozi aina ya Nyerere, Mugabe, Magufuli wenye ujasiri wa kuwaambia mabeberu HAPANA hatunao tena!!

Mabeberu wamebuni njia mpya ya kutufanya watumwa wa kudumu ! Njia yenyewe ni kulazimishwa KUKOPA ILI UNUNUE KWAO KISHA URUDISHE KWA RIBA, LAKINI MBAYA ZAIDI NI MKOPO USIOKUWA WA MAENDELEO NA HAUNA TIJA YOYOTE!! WANATUMIA HATA RUSHWA KURUBUNI VIONGOZI NA UKIKATAA WANACHOCHEA MACHAFUKO NCHINI KWAKO, WAKISHINDWA HILO WANAKUUA!! HAYA YOTE VIONGOZI WANAYAJUA!!
 
Ushahidi huna zaidi ya "conspiracy theories" na Ushabiki tu.....

Well....

CHANJO DHIDI YA POLIO KWA WATOTO WADOGO zinatolewa mara 4.......nalo pia unapinga?!!!

CHANJO DHIDI YA PEPOPUNDA KWA WATOTO hutolewa MARA 5 kwa kuchomwa "mama kabla/wakati wa ujauzito" nalo unapinga?!!!😳🤣🤣
Niambie chanjo yoyote inayotolewa kwa kusaini kwanza kuwa ukipata madhara serikali haihusiki!! Hii wamejihami kwa kuwa haijafanyiwa utafiti wa kujiridhisha usalama wake kwa muda mrefu na madhara yake ya muda mrefu. Haya yote unayajua lakini umeamua kujitoa ufahamu kwa sababu unayoijua mwenyewe!
 
Chanja wewe, kama ameshaathirika mbona anendelea kuja kazini...!
 
Unataka kusema kuwa hakuna watu wa kada ya afya WALIOKWISHA kuchanja na walio na UZOEFU HUKO MAKAZINI kwao ?!!!!

Kama sivyo basi ujue kuwa wengi wanaoipinga chanjo wako katika kundi lako:-

1)Wametekwa na mkumbo wa UJINGA wa wanasiasa walio/wanaopinga CHANJO bila ya kuwa na "FACTS"....

2)Wanazipinga KIDINI NA KIIMANI(Sawa na wale wanaokataa kuongezewa damu)....

3)Ushabiki tu wa "mitaani" usio na tija kisomi....
Nashukuru kwamba unataja neno dini, imani na usomi. Unamaanisha kuwa ungependa hozi za kisomi. Kama unaweza kupunguza moto, ukarudi kwenye neutral ground, karibu tuongee kisomi. Ukiwa tayari niambie.
 
Back
Top Bottom