mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
- Thread starter
- #41
Halafu viongozi wengi ni wanafiki!! Utakuta wao hawajachanja au wamechanjwa PLACEBO/MAJI YA SINDANO halafu wanajifanya kupiga makelele ya kumdanganya Mama kuwa wanahamasisha chanjo. Nimshauri Rais awaitishe viongozi wote kwa maana ya mawaziri, makatibu wakuu, wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, waganga wakuu wote wa hoaspitali za wilaya na mikoa wakiwa na FAMILIA ZAO kwa maana ya watoto wao, baba zao, mama zào nk. Kila moja achanje mbele ya kamera na familia yake!! Ndiyo!! Usipoweza kuwashawishi familia yako yota utawezaje kuwashawishi wengine!! Akifznyz nivyo ndipk atakapojuz kuwa hawa viongozi walio wengi ni wanafiki wala hawana mpango wa kuchanja maana HAWATAMKUBALIA!! !!!
Kama viongozi wote wangechanja na familia zao idadi ya waliochanja isingekuwa laki nne tu!!
Sina maana kuwa viongozi walazimishwe kuchanjwa, maana yangu ni kwamba wasilazimishe wengine kuchanja wakati wao na familia zao hawajachanjwa!! Mama umezungukwa na wanafiki linapokuja suala la chanjo!!