Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Hii inaelekea nzuri nitaisoma baadae
Huwezi institute a criminal case kwa facts toka kwa mganga, how will you prove beyond reasonable doubt!Kama huyo mganga kajua Hadi jina la mwanamke aliyeuaea atashindwaje KUJUA majina ya hao wazungunwalioua huyo Mana was kimasai .Wakijulikana investigation ianzie hapo
Kwa mfano kataja jina la Huyo mzingu muuaji kamtaja hadi kijiji alichotokea fact za upelelezi si zinaanzia hapoHuwezi institute a criminal case kwa facts toka kwa mganga, how will you prove beyond reasonable doubt!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kipara Kipya, Neno lipi?
P
Mtoto wa mzee Kukutia Ole Pumbun; mzee huyo alisumbua miaka ya 1993 akiishitaki serikali. Kwa waliosoma sheria hiyo kesi wanaijua.Hapo nimemtambua meipuki Ole Pumbuni
Kataja jina la mzungu muuaji kamtaja hadi kijiji alichotokea?!Kwa mfano kataja jina la Huyo mzingu muuaji kamtaja hadi kijiji alichotokea fact za upelelezi si zinaanzia hapo
dada bado upo Nanjilinji Siku hizi waganga wanagua na Jeans na TshetSitaki kuamini hicho kiliachoandika ndicho Ni sahihi.
Yaani wafanye uganga....kwa mwonekano huo ....mmmmm....wazungu waamini. Tumezoea kuona waganga na mavazi fulani hivii
Halafu mtu alililie shanga zake za ukoo hivi ziko tofauti eee...itabidi mtuonyeshe hizo shanga zikoje? Ziko tofauti na hizihizi zinazouzwa mitaani?
Halafu mbona wanasmile
Anyway stori nyingine Kama hadithi za alifu ulelaulela
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia The Economist wanafikiria kumchukuwa yeye kwa wakati huu Kabendera yuko ndani!Mayalla.
Sasa itabidi mkubali tu, hao "The Economist" wakiandika jambo lolote kuhusu nchi yetu liwe baya au zuri msishangae, ndio utekelezaji wa majukumu yao, wanaangalia kile kilichopo juu ya meza yao kwa wakati husika, kumbe kule kujibaraguza kwako wakati ule unapinga zile makala za hao jamaa ulikuwa unajipendekeza tu kwa watawala, kwasababu shida yako ilikuwa unataka waandike zuri tu la Tanzania.
N.B. Hua unajinadi mkatoliki ila naona hapa unaamini mizimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizi shanga ziliweza kutumika kama fedha kwa kubadilishana na bidhaa hivyo zilikuwa na thamani.