Mgambo wakiwezeshwa wanaweza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgambo wakiwezeshwa wanaweza!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgomba101, Oct 20, 2012.

 1. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wana JF,mgambo ni kama walikuwa likizo kwa muda kwa sababu vita baina yao na machinga ilikuwa imetulia sana.Mikono ya mgambo ilikuwa inawasha sana. jana walipewa kazi maalum ya kuzuia uvunjifu wa amani kariakoo! Ni ukweli usiopingika kuwa mgambo wamefanya kazi nzuri sana.Wanastahili sifa.

  NI wakati muafaka wa kuwathamini mgambo,walipwe vizuri na wawe wanatumika kwenye operation za kuzuia vurugu mbali mbali.
   
 2. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wapewe nyota kama promo
   
 3. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa jana mgambo wamefanya kweli wamewatendea haki hao vijigaidi vichafu,yaani mpaka leo kariakoo mtu ukimsalimia ''ASALAAM ALEYKUM''anakujibu MILELE AMINA,,kweli kichapo ni noma duuuu!!!
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,323
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Kwi kwi kwi kwi tehe tehe tehe teh aisee nimecheka vicheko vyote.YOU MADE MY DAY Khaa...
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,323
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Mgambo nimewakubali sana hata mimi nimegundua hawa jamaa ni zaidi ya FFU nimeona wapo fasta mbaya.
   
 6. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii.
   
Loading...