Ushaambiwa atavaa nguo zake za uraiani..mbona kichwa chako kigumu sana kuelewa?Naomba ufafanue kidogo mkuu. Mfano Sabaya ambaye tayari amehukumiwa,na akahitajika kwenda mahakamani kwa kesi tofauti na ile aliyotiwa hatiani,je anavaaje?.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani ufungwa ni sare au amri ya mahakama?Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya Magereza kwamba mfungwa mwenye kesi nyingine anakwenda mahakamani akiwa amevalia sare za wafungwa au anavaa nguo zake za nyumbani?
Mungu ni mwema wakati wote!
Ushaambiwa atavaa nguo zake za uraiani..mbona kichwa chako kigumu sana kuelewa?
TafakurishiSwali chonganishi
Amri ya pamba genKwani ufungwa ni sare au amri ya mahakama?
Too hashJe akifa hajamalizia kutumikia kifungo chake watamzika na hizo karoti huku kafungwa pingu???
Uko sahihi mkuuAnavaa nguo za uraiani mkuu
Stephen Wassira aliteuliwa na Nyerere kuwa Naibu waziri wa kilimo akiwa na umri wa miaka 27Nyerere alipoona vijana awafai kuwapa madaraka aliona mbali kuepusha haya.
Huwezi ukampa madaraka bachela au msimbe mtu ambae hana familia ataweza vipi kuwa kiongozi bora.
Mwendazake alidhalilisha Sana taaluma ya uongozi kwa kuchagua wahuni.
Nyerere hakuteua wahuni,awamu iliyopita wengi waliteuliwa kwa cv ya kusifu na kuabudu au kutishia kuwaua wapinzani.Stephen Wassira aliteuliwa na Nyerere kuwa Naibu waziri wa kilimo akiwa na umri wa miaka 27
Well saidNyerere hakuteua wahuni,awamu iliyopita wengi waliteuliwa kwa cv ya kusifu na kuabudu au kutishia kuwaua wapinzani.
Tusubiri tarehe 18 pale lile shauri la uhujumu uchumi pale litakapo tajwa tena.tutaona kama yuko kwenye uniformNauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya Magereza kwamba mfungwa mwenye kesi nyingine anakwenda mahakamani akiwa amevalia sare za wafungwa au anavaa nguo zake za nyumbani?
Mungu ni mwema wakati wote!