Mfungwa mwenye kesi nyingine anapoenda Mahakamani anavaa sare za wafungwa?

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,956
2,000
Naomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,618
2,000
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya Magereza kwamba mfungwa mwenye kesi nyingine anakwenda mahakamani akiwa amevalia sare za wafungwa au anavaa nguo zake za nyumbani?

Mungu ni mwema wakati wote!
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,968
2,000
Anaenda na Nguo zake za kawaida!
Sare ni kwa mtu aliehukumiwa na kuingia Jera.
Na ndiyo swali lililoulizwa, kwa mfano mfungwa Sabaya kesho akienda mahakamani kwa ajili ya ile kesi yake nyingine jee atavaa zile Kaunda suit alizokuwa akitinga wakati akiwa mahabusu au atavaa zile sare rasmi za rangi ya chungwa?
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,512
2,000
Naomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?.


Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Akitoka jela kwenda mahakamani huvaa nguo zake za kawaida ....akirudi anapiga tena gwanda zake orange mfungwa....wa ujambazi Sabaya....ingawa atakuwa anabisha ila ndio ID yake akiwa jela....mfungwa wa ujambazi wa silaha....armed robbery huwa wanaogopeka sana .....sababu ukizubaa akaishika SMG ya askari wamekwisha....
 

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
15,829
2,000
YNi hawa vijana vile walikuwa! Acha tu wapande kizimbani hata mara 2.Makonda naye achukuliwe hatua.Hivi katika wote waliofanyiwa unyama hakuna hata mmoja afungue kesi then wengine waanze kutiririka ktk matukio yote yoteee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom