Mfungwa mwenye kesi nyingine anapoenda Mahakamani anavaa sare za wafungwa?

Hayo ya mavazi mimi wala hayaniumizi! Aende na sare za wafungwa, sawa! Aende akiwa ameulamba suti, poa tu!! Hofu yangu isije Majambazi wenzake wakafanya rescue attempt kwa kutumia advantage ya hizo movemnts za to and from mahakamani!!

Miaka 30, huku misala mingine ikinisubiri, hata mimi naandaa genge la kufanya ambush. Na hata nikipewa cha moto wakati wa kutoroka, poa tu kuliko kwenda kunianzia maisha mapya ya jela na kuishi huko ujana wangu woooooote hadi uzeeni!!
 
Wafungwa waruhusiwe kutungisha mimba wake zao au wachumba zao nje,kama umefungwa miaka mingi Ili uzao wako usipotee.
Wafungwe lakini wasinyimwe haki ya kuzaa.
Wapewe huduma ya kuchukuliwa mbegu zao zikatungishwe kwa wapenzi zao nje kuliko kutoka ndo uanze na moja.
 
Nyerere alipoona vijana awafai kuwapa madaraka aliona mbali kuepusha haya.
Huwezi ukampa madaraka bachela au msimbe mtu ambae hana familia ataweza vipi kuwa kiongozi bora.
Mwendazake alidhalilisha Sana taaluma ya uongozi kwa kuchagua wahuni.
 
Nyerere alipoona vijana awafai kuwapa madaraka aliona mbali kuepusha haya.
Huwezi ukampa madaraka bachela au msimbe mtu ambae hana familia ataweza vipi kuwa kiongozi bora.
Mwendazake alidhalilisha Sana taaluma ya uongozi kwa kuchagua wahuni.
Stephen Wassira aliteuliwa na Nyerere kuwa Naibu waziri wa kilimo akiwa na umri wa miaka 27
 
Tusubiri ta
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya Magereza kwamba mfungwa mwenye kesi nyingine anakwenda mahakamani akiwa amevalia sare za wafungwa au anavaa nguo zake za nyumbani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Tusubiri tarehe 18 pale lile shauri la uhujumu uchumi pale litakapo tajwa tena.tutaona kama yuko kwenye uniform
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom