pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,556
Wafungwa waruhusiwe kutungisha mimba wake zao au wachumba zao nje,kama umefungwa miaka mingi Ili uzao wako usipotee.
Wafungwe lakini wasinyimwe haki ya kuzaa.
Wapewe huduma ya kuchukuliwa mbegu zao zikatungishwe kwa wapenzi zao nje kuliko kutoka ndo uanze na moja.
Kuna baadhi ya sehemu duniani wanaruhusu CONJUGAL VISITS kwa inmates wanandoa. hapo inmates wanaweza kumimbana kawaida kabisa nadhani. Watu wa haki za binadamu Tz wanatakiwa walipigie hili kelele ili ipitishwe sheria inayoruhusu hzo ishu.
Currently, only California, Connecticut, Mississippi, New Mexico, New York, and Washington allow conjugal visits. ... Washington and California even provide trailers or mobile homes on prison grounds for conjugal visits with spouses and extended family visits with other family members