Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,160
Hawalazimishwi ila wanashawishiwa kama nyie wabeba hiyo mizigo, hamlazimishiwi bali mnashawishiwa.Hivi kwan huwa wanalazimishwa kutumia madawa? Kuna vitu huwa natafakari nakosa majibu lol , kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi kwangu mtu akisifiaga mambo ya ajabu ajabu ambayo jamii na serikali inayakemea namuonaga mpuuzi tu.Huko uswahilin kwenu you only deal na uchafu sio unga, utaendelea tu kuwasikia real dealers kwenye bomba sio hao wapuuzi wa mtaan kwenu
Sent from my iPhone using JamiiForums
aisee usitamani kwenda magereza ya indonesia, thailand,phillipeans utajuta harafu mbaya zaidi ni mgeni.kama unabisha we ingia youtube hakuna utafauti na magereza ya huku...Hajayajua Magereza ya Tanzania narudia hajayajua!
Ni jehanam iliyoko duniani, kule si analala kwenye vitanda, vyumba vina AC ana mashuka, vyumba vina rangi tena unaweza kukuta ana roommate mmoja tu, akiamka asubuhi anakula vinono, anafanya kazi kama mazingira mazuri kama vile watu wa Benjamin Mkapa External!
.
Mwambieni, jela za Tanzania hakuna hata moja yenye AC, yenye vyumba, yenye rangi kwenye cello zake, yenye kazi rahisi, yenye vitanda kama hajawahi kuiona Jehanam na aombe sana serikali imlete hatoamini macho yake
Mimi kwangu mtu akisifiaga mambo ya ajabu ajabu ambayo jamii na serikali inayakemea namuonaga mpuuzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
DUNIANI kuna inchi inapiga vita madawa kama MAREKANI? Lakini ukikamatwa unakwenda jela miezi 6.. Huku kwetu ndy tumeshupalia ili wauze wao...nambie ni lini umesikia madawa yamechomwa moto? kwa TAARIFA yako muuza madawa sio tishio kimataifa,,kama JAMBAZI,,,MLA RUSHWA,,,MUHUJUMU UCHUMI...KUMJERUHI MTU...tembea uone,,SIO kung' angania BONGO,,,unajuwa njaa uliyokuwa nayo imesababishwa na MADAWA? au watu wachache wasio waaminifu wanaojilimbikizia Mali za umma na wala RUSHWA? tembea ulaya yote jela watu wa madawa ndy wanaongoza kifungo kidogo kuliko mla rushwa,, wewe unajuwa watu wangapi wanasababishia hasara serikali? je anaathirika MTU mmoja au watu wote!? Wacha kula Mali ya umma,,wacha kula RUSHWA,, ungekuwa ulaya au China sasa hivi ni PRISON... HUNA CHA KUKWEPA...HAYO YAKO NI MAZITO KULIKO MADAWA,,,TATIZO Africa ndy maana upo UraniaKwenye mambo ya kijinga mnakimbilia MUAFRICA, nani kwenye dunia hii anayesapoti madawa ya kulevya? Unaijua athari ya madawa ya kulevya wewe, una mpendwa wako yoyote ameathirika na madawa ya kulevya?
Tamaa zako za maisha ndio uue wengine? Acheni kutetea ujinga bhana.
Wewe huna connection YEYOTE zaidi ya connection za waganga wa kienyeji Kuwazibia riziki MABAHARIAwewe nawe bure kabisa,yani connection ya kuwa punda,njoo mtaani kwangu nkupe hiyo conection uende kama kwako ni deal.
Kumbe kuna watu uelewa ni mdogo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwangu mtu akisifiaga mambo ya ajabu ajabu ambayo jamii na serikali inayakemea namuonaga mpuuzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni mabaya sasa huyu kigagula anataka aletwe bongoaisee usitamani kwenda magereza ya indonesia, thailand,phillipeans utajuta harafu mbaya zaidi ni mgeni.kama unabisha we ingia youtube hakuna utafauti na magereza ya huku...
Wenzio wakia rushwa wewe unabeba madawa.Siku SHERIA zikifata mkondo wake Hata walarushwa wahukumiwe kama watu wa madawa,,ndy utaacha kuongea MAVI
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe MKUU hata huyo anayekutuma huko kibaruani kwako,,, unajuwa anafanya biashara gn? utajiri wa mtu una siri nyingi Sana,,, wapo watu kibao hapo bongo watu wanakutana nao viwanja,,,na watu wanajuwa wanachofanya,,,mabaharia tunasema WHAT HAPPENS IN THE JUNGLE STAYS IN THE JUNGLE....MIKAUSHO na wakirudi hapo na wao mikausho,,,MIKALI,, ,,usipige KELELE KAMA MBWA KOKO,,,,,huna unachojuwa connections wala system za mambo ya madawa,,,waache WENYEWE na mambo yao,,, hakuna MTU asiyependa pesa za haraka,,,,,wacha wivu ..wa kijinga,,,,mbona wewe unachofanya kwenye KIGENGE CHAKO WATU HAWAKUINGILII,, kama MAUMIVU yakizidi kalia kitu chenye ncha Kali,,,...UKOJOWE....upoze machungu....MKUU..Wenzio wakia rushwa wewe unabeba madawa.
.......elimu bure bado haijawakomboa?
Nionee wivu mtu kufungwa kwa kosa la kusafirisha madawa?Wewe MKUU hata huyo anayekutuma huko kibaruani kwako,,, unajuwa anafanya biashara gn? utajiri wa mtu una siri nyingi Sana,,, wapo watu kibao hapo bongo watu wanakutana nao viwanja,,,na watu wanajuwa wanachofanya,,,mabaharia tunasema WHAT HAPPENS IN THE JUNGLE STAYS IN THE JUNGLE....MIKAUSHO na wakirudi hapo na wao mikausho,,,MIKALI,, ,,usipige KELELE KAMA MBWA KOKO,,,,,huna unachojuwa connections wala system za mambo ya madawa,,,waache WENYEWE na mambo yao,,, hakuna MTU asiyependa pesa za haraka,,,,,wacha wivu ..wa kijinga,,,,mbona wewe unachofanya kwenye KIGENGE CHAKO WATU HAWAKUINGILII,, kama MAUMIVU yakizidi kalia kitu chenye ncha Kali,,,...UKOJOWE....upoze machungu....MKUU..
Side effect za umalaya mbaya sana.Halafu ni karembo, si bora angedanga tu angepata pesa ndefu , angeenda pattaya huko thailand hizo 10 mil angezipata in a week , kwa jinsi alivyo angepata sana soko
Wewe MKUU hata huyo anayekutuma huko kibaruani kwako,,, unajuwa anafanya biashara gn? utajiri wa mtu una siri nyingi Sana,,, wapo watu kibao hapo bongo watu wanakutana nao viwanja,,,na watu wanajuwa wanachofanya,,,mabaharia tunasema WHAT HAPPENS IN THE JUNGLE STAYS IN THE JUNGLE....MIKAUSHO na wakirudi hapo na wao mikausho,,,MIKALI,, ,,usipige KELELE KAMA MBWA KOKO,,,,,huna unachojuwa connections wala system za mambo ya madawa,,,waache WENYEWE na mambo yao,,, hakuna MTU asiyependa pesa za haraka,,,,,wacha wivu ..wa kijinga,,,,mbona wewe unachofanya kwenye KIGENGE CHAKO WATU HAWAKUINGILII,, kama MAUMIVU yakizidi kalia kitu chenye ncha Kali,,,...UKOJOWE....upoze machungu....MKUU..
Side effect za umalaya mbaya sana.
Hivi ukitandikwa 3 million hapo leo, baada ya siku sita ukachapwa Mark X baada ya mwezi ukachapwa million 5 na ukaenda kulala Serena two days alafu ukaambiwa upeleke mzigo Hong Kong pure cocaine trip moja tu utakataa?
Unaangalia zako list ya nchi zinazoshukiwa sana.Binamu mimi sio mnafiki, naanzaje kukataa fursa kama hizo kwa mfano?, ticket unalipiwa tena first class emirates , hotel Five Star na dollar 5 pocket money wee, warumi sijaumbwa na unafiki kwa kweli.
Lilian hawakumtrain vzur alikurupuka, zile biashara lazima ufukishwe haswa, ila sio mbaya kajaribu, Kwangu mimi ni shujaa
Nina trip ya bali corona ikitulia, ntaenda kumpa hi mpiganaji mwenzangu
Nionee wivu mtu kufungwa kwa kosa la kusafirisha madawa?
.......Endeleeni tu kubeba na blah blah nyingine mkifanikiwa mje kutusumbua wauza magenge ila mkidakwa ndio inakuwa kama hivi mnapigwa miaka ya kutosha huko ugenini na menu ni wali na konokono.
Watoto wa kiume na tamaa ya utajiri wa haraka na maisha mazuri ya chap ndio mnaishia kuwa Wake za watu.