Mfungwa Lengai Ole Sabaya asuburiwa na Takukuru mkoa wa Kilimanjaro kuna tuhuma za kujibu

Duuu basi jamaa atakua na mzigo wa kutosha kautuliza sehem, kwa ushamba wake unaweza kuta yule kimwana anao ata nusu.....

Inaonekana wa mafogo wa kaskazini wanakati kabisa ya kudeal nae, kazi anayo..
 
Hapo Hai waliitwa watu wenye shutma zake wamejitokeza raiya 85 wamehojiwa wameelezea walivyofanyiwa ukatili wa kinyama na jenerali sabaya na kundi lake.
 
Nchi hii viongozi wengi wanatumia vibaya madaraka yao sema Sabaya kapatwa na bahati mbaya lakini wa aina yake wapo wengi sana.
 
Ili afungwe watu wafurahi,ni lazima kesi ziwe nyingi vyenginevyo akikata rufaa anachomoka kirahisi sana.
Miezi michache iliyoita 7saya alikua anaitwa mheshimiwa, Leo hii Ni mfungwa Sabaya na anajulikana kwa namba akiwa Kisongo.
Tujifunze kuacha Ukatili tukiwa Madarakani.
Salamu hizi zimfikie Bashite , sabuufa, mambosasa, Muroto na afande Rama.
 
Mh! Hawa takokuru vp! Ina maana hawakuona ile clip akimvamia mzee lasway? Hii tabia ya kisengerema sana! Mnatengeneza tukio halafu mnakuja kulitatua tena kwa fedha za walipa kodi wanyonge! Upuuz wa kiwango cha sgr huu! Aibu yenu takokuru aibu ynu sirikal!
 
Kesi na hukumu siyo kwa ajili yake tu, ni pamoja na kuwa fundisho kwa wenye tabia, vitendo na fikra kama zake.
Mtu anaweza kushitakiwa hata kama umri na hali yake ni ya kufa nyakati hizo hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…