Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Shukrani mkuuKuna punguzo nadhani ni 1/3 hawezi tumikia miaka yote thelathini
Shukrani mkuuKuna punguzo nadhani ni 1/3 hawezi tumikia miaka yote thelathini
Duuu basi jamaa atakua na mzigo wa kutosha kautuliza sehem, kwa ushamba wake unaweza kuta yule kimwana anao ata nusu.....Hizi mission zote zakupokonya watu watu pesa kwa kutishia kubambikia kesi ya uhujumu ni missions za Sabaya yeye binafsi.
Hii kesi mpya ya Kilimanjaro itakayofuata huenda ndiyo ile amefanya featuring na Meya wa Moshi mjini Comrade Raibu. Ni bonge la colabo.
Hapo Hai waliitwa watu wenye shutma zake wamejitokeza raiya 85 wamehojiwa wameelezea walivyofanyiwa ukatili wa kinyama na jenerali sabaya na kundi lake.Haki itendeke kwa kila aliyefanyiwa unyama na Sabaya. Unadhani yule aliyepigwa misumari miguuni anaridhika Sabaya kufungw kwa kesi ya kupora hela dukani? Hapana, naye anataka asikilizwe na aliyemtenda ahukumiwe.
Hili jambo linaweza kusababisha Sabaya akawa na kesi hata 50 na zote zikamfunga kwani alikuwa anafanya uhalifu bila woga maana sponsor ndio mwenye nchi na ni jiwe
Inawezekana bwana Sabaya licha ya kutumwa na yeye lijituma zaidi kwa mgongo wa kutumwa!
Alishavuna siku nyiingi sa hivi anastahili alichopataAnavuna alichopanda...
Miezi michache iliyoita 7saya alikua anaitwa mheshimiwa, Leo hii Ni mfungwa Sabaya na anajulikana kwa namba akiwa Kisongo.Ili afungwe watu wafurahi,ni lazima kesi ziwe nyingi vyenginevyo akikata rufaa anachomoka kirahisi sana.
Bandika banduaKwahiyo akimaliza miaka 30 anakutana na kesi nyingine inaanza.
Usisahau kutoa pole na kwa Gaidi Mbowe maana hilo gaidi kama sio kunyongwa basi ni kifungo cha maisha!Pole Sabaya.
Kesi na hukumu siyo kwa ajili yake tu, ni pamoja na kuwa fundisho kwa wenye tabia, vitendo na fikra kama zake.I second you, mahakama na serikali watumie busara, sasa kama mtu kafungwa 30 yrs na bado mnaendelea naye na kesi zingine huku mnachelewesha kutoa haki kwa kesi za watu wengine, mnyongeni maisha yaendelea, mbona yeye alimkata mtu masikio(sina ushahidi lakini)
Baba yake ana laana za kutesa na kudhuru watu alipokuwa DC wa Serengeti miaka ya nyuma! Ila kwa jinsi wanavyopenda kujitanguliza kwenye ibada huwezi amini!Huo ndiyo uzao haswaa wa shetani
Mkuu salute kwa kutuweka sawa.Baba yake ana laana za kutesa na kudhuru watu alipokuwa DC wa Serengeti miaka ya nyuma! Ila kwa jinsi wanavyopenda kujitanguliza kwenye ibada huwezi amini!