Mfungwa Lengai Ole Sabaya asuburiwa na Takukuru mkoa wa Kilimanjaro kuna tuhuma za kujibu

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,796
2,000
Kesi na hukumu siyo kwa ajili yake tu, ni pamoja na kuwa fundisho kwa wenye tabia, vitendo na fikra kama zake.
Mtu anaweza kushitakiwa hata kama umri na hali yake ni ya kufa nyakati hizo hizo.
Uko sahihi, sasa hapo unakosoa au kupinga nin?
 

Kamugumya

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
923
1,000
Dah! Huyu Sabaya hayo maagizo aliyokuwa amepewa yalikuwa na ukomo upi? Mana wasiwasi wangu tusijesikia na Chato Wana malalamiko yake.
 

Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,277
2,000
Sabaya apewe tuzo pia ajengewe sanamu mpakani mwa Moshi na Arusha, kaupiga mwingi sana.
2969177_229347F1-BE23-4448-9E04-56B55AC0010A.jpeg
 

lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,300
2,000
Uko sahihi, sasa hapo unakosoa au kupinga nin?
Kwamba hata kama mtu amehukumiwa kifungo miaka mingi, haizuii kuendeleza kesi nyingine mpya kama zipo ili kufundisha mhusika mwenyewe na wengine.
Elewa hoja.
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,675
2,000
Hao ndio walikuwa wsiojulikana ila sabaya kutokana na confidence na ushamba akawa anajionyesha. Ndio hayo.

Bashite, mnyeti na Yule aliyefukuzwa mwanza Yule mwenyekiti wa ccm Iringa ni miongoni mwao.
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,675
2,000
Mshenzi alikuwa analia vibaya baada ya kuona jamaa aliyekuwa anamtuma kadanja
IMG-20211022-WA0024.jpg
 

Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Tatizo alimwona mwenda zake ni immortel. Yaani hata kidogo kwenye unyama wake hakuwahi jiuliza what if mwendazake hayupo tena ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom