Mfungwa Lengai Ole Sabaya asuburiwa na Takukuru mkoa wa Kilimanjaro kuna tuhuma za kujibu

Oxx

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
817
1,000
Hizi mission zote zakupokonya watu watu pesa kwa kutishia kubambikia kesi ya uhujumu ni missions za Sabaya yeye binafsi.

Hii kesi mpya ya Kilimanjaro itakayofuata huenda ndiyo ile amefanya featuring na Meya wa Moshi mjini Comrade Raibu. Ni bonge la colabo.
Duuu basi jamaa atakua na mzigo wa kutosha kautuliza sehem, kwa ushamba wake unaweza kuta yule kimwana anao ata nusu.....

Inaonekana wa mafogo wa kaskazini wanakati kabisa ya kudeal nae, kazi anayo..
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
57,024
2,000
Haki itendeke kwa kila aliyefanyiwa unyama na Sabaya. Unadhani yule aliyepigwa misumari miguuni anaridhika Sabaya kufungw kwa kesi ya kupora hela dukani? Hapana, naye anataka asikilizwe na aliyemtenda ahukumiwe.
Hili jambo linaweza kusababisha Sabaya akawa na kesi hata 50 na zote zikamfunga kwani alikuwa anafanya uhalifu bila woga maana sponsor ndio mwenye nchi na ni jiwe
Hapo Hai waliitwa watu wenye shutma zake wamejitokeza raiya 85 wamehojiwa wameelezea walivyofanyiwa ukatili wa kinyama na jenerali sabaya na kundi lake.
 

Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,319
2,000
Nchi hii viongozi wengi wanatumia vibaya madaraka yao sema Sabaya kapatwa na bahati mbaya lakini wa aina yake wapo wengi sana.
 

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,619
2,000
Ili afungwe watu wafurahi,ni lazima kesi ziwe nyingi vyenginevyo akikata rufaa anachomoka kirahisi sana.
Miezi michache iliyoita 7saya alikua anaitwa mheshimiwa, Leo hii Ni mfungwa Sabaya na anajulikana kwa namba akiwa Kisongo.
Tujifunze kuacha Ukatili tukiwa Madarakani.
Salamu hizi zimfikie Bashite , sabuufa, mambosasa, Muroto na afande Rama.
 

MTENGETI

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,453
2,000
Mh! Hawa takokuru vp! Ina maana hawakuona ile clip akimvamia mzee lasway? Hii tabia ya kisengerema sana! Mnatengeneza tukio halafu mnakuja kulitatua tena kwa fedha za walipa kodi wanyonge! Upuuz wa kiwango cha sgr huu! Aibu yenu takokuru aibu ynu sirikal!
 

lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,300
2,000
I second you, mahakama na serikali watumie busara, sasa kama mtu kafungwa 30 yrs na bado mnaendelea naye na kesi zingine huku mnachelewesha kutoa haki kwa kesi za watu wengine, mnyongeni maisha yaendelea, mbona yeye alimkata mtu masikio(sina ushahidi lakini)
Kesi na hukumu siyo kwa ajili yake tu, ni pamoja na kuwa fundisho kwa wenye tabia, vitendo na fikra kama zake.
Mtu anaweza kushitakiwa hata kama umri na hali yake ni ya kufa nyakati hizo hizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom