Hivi kwann unalinganisha kukosoa kama ni kitu sawa na chuki? Mtazamo wako mbovu Emmanuel... anayekuchukia hawezi kupoteza muda kukukosoa. Ukiona watu wengi wanafatilia, kuongelea au kukosoa US au jchi za magharibi ni kwa sababu wanajua zina athari kweny maisha yao pia. Dunia imeunganika sana zama hizi ndio maana wanawawekea vikwazo kuwaua morali na wao pia wanaathirika sana tu.
Kukosoa UK haimaanishi tuache kushirikiana nao. Tulianza na mtazamo wa utumwa kifikra sasz naona kuna shida ya uhuru wa maoni pia... ukikososa ni chuki! Unaweza kuendelea ndani ya system na kuwa independent, kujitenga sio suluhisho bora zaidi.
Fikra zilivyo ni kama viumbe, vinazaliwa na kurekebishwa kwa njia kama hizi usizopenda za kukosoa. Kuwa huru kukosoa hata kama unamtegemea mtu bila hvyo unakuwa zombie kukubali vitu... unapokea tuuuu....