SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Kufuatia kupanda kwa gharama za nishati kama vile mafuta na bei za vyakula kumesababisha mfumuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea nchini humu kwa takribani miongo mitatu kwani bei za watumiaji wa
Takwimu kutoka Ofisi ya Takwimu za serikali ya Uingereza zinasema mfumuko wa bei umepanda kwa kasi zaidi, ambapo mara ya mwisho hali hiyo ilikutokea mwaka1992.
Kwa upande mwingine, ripoti zinaonyesha Marekani ndilo taifa pekee lililo na kiwango cha juu cha mfumuko wa bei kwa mwaka ukilinganisha na mataifa mengine ya G7, huku bei za bidhaa za msingi zikipanda kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni mzozo wa Ukraine.
Bili za nishati Marekani zimeongezeka karibu asilimia 25%, huku gharama ya chakula ikiwa haikamatiki.
Chanzo:Rt neWs