Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,999
- 4,591
Nimeshamjibu angalia post #76, hata yeye anajichangana Kwa kuuliza vitu ambavyo havijatolewa kwa jamii yote kuona.Mbona haya hayajabishiwa? Mbona humwelewi
X bar hajabisha hoja zako, anachotaka kujua ni kama hoja yako ina support taarifa ya NBS au la! Kama sivyo, nani muongo, ni wewe au taarifa ya NBS? Ni hayo tu Hakuna kingine