SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,820
Ww endelea kuchonga mtandaoni tu kama utapata kitu cha kukuongezea kipato
Mkuu, mfumuko wa bei unaweza kupimwa kwa vipindi tofauti, yaani mwaka, robo mwaka na mwaka. NBS huwa wanato namba za mfumuko wa bei kwa kipindi cha mwezi na mwaka, ingawa ni mara chache kukuta watu wanatumia namba ya mfumuko wa bei ya kipindi cha mwezi mmoja.Duh! kwa hiyo mfumko wa bei unapanda kila mwezi? Maana January uliongezeka kwa 2%. Naona mpaka ikifika Julai tutakua tumenyooka kama wasomali.
Yaani kuna mfumuko wa bei balaa
Sukari robo 850
mafuta lita kupikia 4500
mafuta taa lita 3250
Mchele nzuri kilo 3000 mpaka 3500
Maharage galoni/sadolin moja ni 15000
Unga wa ngano nusu ilikua 700 leo 950
Na bado vinatarajiwa kupanda maradufu mpaka 2020
kweli twafaaaa
Bora ukoloni urudi tu kuna nafuu kuliko maisha haya tuishiyo
Wacha tuisome tu
ila mungu atawapiga tu