Hapana mkuu, hii ni kutokana na msimu wa mavuno. Hata mahindi tunayonunua debe 20,000 yatashuka kuanzia may/june watu wengi watakuwa wamekaushaJuzi kati hapa Nyanya zilikuwa hazina ishu sokoni, kisado mpaka 1500 unapata (bei ya kawaida ina range 3000 - 4000) na bado unaringa kununua. Sasa hivi kisado 6000 mpaka 7000, halikadhalika viazi kutoka 3500 mpaka 7000. Hatari sana. Najiuliza zile kauli za mtukufu kwa wakulima ndio athari zake hizi au kuna lingine la ukame?
Wenzio wanazungumzia dukani kwa Mangi ww unazungumzia SHOPLITE??? (Shoprite) hatr sanaKwa kweli kwa mfumuko huu wa bei hata furaha inapotea gafla ukienda shoplite unakuta vitu vimepanda bei!
fedha adimu kuipata na ukiipata unakutana na mfumuko wa bei sasa sijui hata wachumi wetu wanafanya nini aisee ili kuweza ku control mfumuko wa bei?
Wenzio wanazungumzia dukani kwa Mangi ww unazungumzia SHOPLITE??? (Shoprite) hatr sana
Hamna mtu ambae hatafuti pesaTafuta pesa wewe. acha kulalama
Duh! kwa hiyo mfumko wa bei unapanda kila mwezi? Maana January uliongezeka kwa 2%. Naona mpaka ikifika Julai tutakua tumenyooka kama wasomali.NBS wametoa taarifa jana tarehe 8 March 2017, wamesema mfumuko wa bei kwa mwezi February 2017 ni asilimia 5.5. Hii ikiwa inamaanisha, kwamba tangu mwezi February 2016 hadi February 2017, WASTANI wa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa hapa nchini ni asilimia 5.5. Kwa maana ingine, kama ulikuwa unanunua pipi shilingi 100 mwezi February 2016, utahitajika kuongeza asilimia 5.5 ya hio shilingia 100 ili kupata pipi ileile.
Chichiemu ni mafalana mataahira yatakwambia uchumi unakua kwa kasi !!
Huyu jamaa cjui anatupeleka wapi aiseeJuzi kati hapa Nyanya zilikuwa hazina ishu sokoni, kisado mpaka 1500 unapata (bei ya kawaida ina range 3000 - 4000) na bado unaringa kununua. Sasa hivi kisado 6000 mpaka 7000, halikadhalika viazi kutoka 3500 mpaka 7000. Hatari sana. Najiuliza zile kauli za mtukufu kwa wakulima ndio athari zake hizi au kuna lingine la ukame?
Bashite weweTafuta pesa wewe. acha kulalama
Yani unga sasa hivi ni 1800-2000Unga WA ugali ndo usiseme
Si unajua mabashite ni wengi mjini hapaHamna mtu ambae hatafuti pesa