charldzosias
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,448
- 3,334
Habari zenu wakuu..
Baada ya Kusafiri kwa WIKI nzima kwa kutumia Usafiri wa UMMA.. nimeona niseme tu..
(Experience yangu ni kwa gari za IKULU Chamwino mpaka Sabasaba.. na Sababasaba kwenda B/W Mkapa Hospital)
Nimeona Nililete hili swala huku.. maana nimeshindwa kuvumilia
Kwa wakazi wa Dodoma mtaniunga mkono juu ya hili swala.
#DALADALA..
Hawana HARAKA... yaani gari litakaa Stendi zaidi ya DK 40 likiwa LEVEL SEAT wakisubiri watu wa kusimama ndio Gari liondoke...
(hizo dk 40 ni nyingi mno katika Mzunguko wa MAENDELEO)
bado WASAFIRI.. hata hawalalamiki.. wame RELAX..
(Hii inaonesha ni jinsi gani WATU wa DODOMA ni watu Ambao hawana Shughuli za kufanya ON TIME.. hawazingatii MUDA.)
PILI hili ni jiji lishakuwa Kubwa.. Hivyo hivi vi-Panya vingeondolewa kabisa.. (Visogezwe /Viishie Nje ya Maeneo ya Mjini)
(Ushauri wangu SERIKALI iangalie Namna ya Kuweka miundombinu kama ya UDART.. itasaidia ku boost MAENDELEO huku.. otherwise wafanyakazi wengi ni wa Kutumia Usafiri Binafsi ingawa demand ni ndogo kulingana na WASAFIRI wengine (Mchanganyiko).