Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
2,448
3,334
Habari zenu wakuu..

Baada ya Kusafiri kwa WIKI nzima kwa kutumia Usafiri wa UMMA.. nimeona niseme tu..

(Experience yangu ni kwa gari za IKULU Chamwino mpaka Sabasaba.. na Sababasaba kwenda B/W Mkapa Hospital)

Nimeona Nililete hili swala huku.. maana nimeshindwa kuvumilia

Kwa wakazi wa Dodoma mtaniunga mkono juu ya hili swala.

#DALADALA..

Hawana HARAKA... yaani gari litakaa Stendi zaidi ya DK 40 likiwa LEVEL SEAT wakisubiri watu wa kusimama ndio Gari liondoke...
(hizo dk 40 ni nyingi mno katika Mzunguko wa MAENDELEO)

bado WASAFIRI.. hata hawalalamiki.. wame RELAX..

(Hii inaonesha ni jinsi gani WATU wa DODOMA ni watu Ambao hawana Shughuli za kufanya ON TIME.. hawazingatii MUDA.)

PILI hili ni jiji lishakuwa Kubwa.. Hivyo hivi vi-Panya vingeondolewa kabisa.. (Visogezwe /Viishie Nje ya Maeneo ya Mjini)

(Ushauri wangu SERIKALI iangalie Namna ya Kuweka miundombinu kama ya UDART.. itasaidia ku boost MAENDELEO huku.. otherwise wafanyakazi wengi ni wa Kutumia Usafiri Binafsi ingawa demand ni ndogo kulingana na WASAFIRI wengine (Mchanganyiko).
 
Iko hivi ndugu yangu... wakazi hasa wazawa na wale hasilia wamezoea kutembea kutokana na nagure ya kimaeneo na kimaendeleo.

Hapo wakuwalaumu ni wakazi wa dodoma kwanini hawapendi kupanda vyombo vya usafiri. Kama uliliona hilo naimani unaweza kutujulisha je njiani mlipandisha abiria wangapi kwa njia ya Bm Mkapa Sabasaba?

Kwakutafuta faida madereva lazima wahakikishe hesabu yao inapatikana kabla hawajatoka stendi bila hivyo watu watakua kama wamelikodi gari.

Mgogo akiwa na Mua na Kitumbua tuu, hapo KM 10 kama ananyoosha miguu ..... (hahah)
 
Bado Sana Dodoma Kwenye Mambo Mengi Sana, Jiji Saa Tatu Usiku Huwezi Kupata Usafiri

Sehemu Zote Ulizosema Usafiri Ni Wa Mawazo Mfano UDOM Yaani Shida Tupu, Maji Ni Ya Chumvi

Ombaomba Sasa Hivi Wanaombea Home Ila Yapo Mengi Yatachukua
Muda Mrefu.
 
Aisee yaani umesema kabisa kuna siku natoka hapo sabasaba naenda UDOM mpk BMH. Hawa watu hawana kabisa haraka wana uvivu mpaka wa kufikiri. Gari linajaa wanaanza kumtafuta dereva.

Vipanya wavitoe kabisa ni uchafu katika jiji ambalo linatengenezwa kuwa jiji la mfano kwa mujibu wa JPM! Jiji lina wajinga wengi sana hasa katika sekta ya usafiri wa umma.
 
Aisee yaani umesema kabisa kuna siku natoka hapo sabasaba naenda UDOM mpk BMH. Hawa watu hawana kbs haraka wanauvivu mpaka wa kufikiri. Gari linajaa wanaanza kumatafuta dereva. Vipanya wavitoe kabisa ni uchafu katika jiji ambalo linatengenezwa kuwa jiji la mfano kwa mujibu wa JPM! Jiji lina wajinga wengi sana hasa katika sekta ya usafiri wa umma.
Haa😁😂😅😄
Dodoma Na Upepo Unaoleta Tongotongo Kwenye Macho
Mpaka Wapande Miti Kupunguza Upepo Ndiyo Wataweza Kuwa Na Haraka
 
Kuna wakati nawaza uwezo wa kufikiri wa watu wanaohusika na usafiri dodoma,huenda hawako sawa,yaani hakuna haraka wala hawafikirii kuwahi popote, unaweza kukaa kwenye daladala dakika 50 halijaondoka mpaka watu wasimame wajae hadi mkanyagane,hasa daladala za kwenda udom,upuuzi sana ule;
Mie yamenikuta... Wanakera mnoo.. Kwa hali hii MAENDELEO yatachelewa mno
 
Kwa kweli hiyo ndio hali halisi ya usafiri wa Dodoma, tatizo ni kama inaonekena hata abiria kuridhika na utaratibu huu. Hamna wa kuchukua hatua!
Kwa watu waliotoka Dar ndio wanapata Shida.. ila hawa WAGOGO wa huku.. hawana HARAKA hata gari likae masaa mawili
 
Iko hivi ndugu yangu... wakazi hasa wazawa na wale hasilia wamezoea kutembea kutokana na nagure ya kimaeneo na kimaendeleo.

Hapo wakuwalaumu ni wakazi wa dodoma kwanini hawapendi kupanda vyombo vya usafiri. Kama uliliona hilo naimani unaweza kutujulisha je njiani mlipandisha abiria wangapi kwa njia ya Bm Mkapa Sabasaba?

Kwakutafuta faida madereva lazima wahakikishe hesabu yao inapatikana kabla hawajatoka stendi bila hivyo watu watakua kama wamelikodi gari.

Mgogo akiwa na Mua na Kitumbua tuu, hapo KM 10 kama ananyoosha miguu ..... (hahah)
Si kwel.. Hii Tabia ya Kushindilia watu.. linasababisha watu waliopo Njian kukosa Usafir na kuamua Kutembea au kuingia Gharama kukod Bajaj au pikpik..

Mim niliunga Vyombo vya moto 6 .... Siku ya kwnza.
 
Habari zenu wakuu..

Baada ya Kusafiri kwa WIKI nzima kwa kutumia Usafiri wa UMMA.. nimeona niseme tu..

(Experience yangu ni kwa gari za IKULU chamwino mpk Sababasaba.. na Sababasaba kwenda B/W Mkapa Hospital)

Nimeona Nililete hili swala huku.. maana nimeshindwa kuvumilia

Kwa wakazi wa Dodoma mtaniunga mkono juu ya hili swala.

#DALADALA..

Hawana HARAKA... yaani gari litakaa Stendi zaidi ya DK 40 likiwa LEVEL SEAT wakisubiri watu wa kusimama ndio Gari liondoke...
(hizo dk 40 ni nyingi mno ktk Mzunguko wa MAENDELEO)

bado WASAFIRI.. hata hawalalamiki.. wame RELAX..

(Hii inaonesha ni jinsi gani WATU wa DODOMA ni watu Ambao hawana Shughuli za kufanya ON TIME.. hawazingatii MUDA.)

PILI hili ni jiji lishakuwa Kubwa.. Hivyo hivi vi-Panya vingeondolewa kbs.. (Visogezwe /Viishie Nje ya Maeneo ya Mjini)

(Ushauri wangu SERIKALI iangalie Namna ya Kuweka miundombinu kama ya UDART.. itasaidia ku boost MAENDELEO huku.. otherwise wafanyakazi wengi ni wa Kutumia Usafiri Binafsi ingawa demand ni ndg kulingana na WASAFIRI wengine (Mchanganyiko).
Lakini Ufipa si mnapinga maendeleo ya vitu?
 
Bado Sana Dodoma Kwenye Mambo Mengi Sana, Jiji Saa Tatu Usiku Huwezi Kupata Usafiri

Sehemu Zote Ulizosema Usafiri Ni Wa Mawazo Mfano UDOM Yaani Shida Tupu, Maji Ni Ya Chumvi

Ombaomba Sasa Hivi Wanaombea Home Ila Yapo Mengi Yatachukua
Muda Mrefu.
Hapo kwenye Maji.. hahah Nawaza Kufua Suti zangu zisije kuonekana kama Tambala
 
Back
Top Bottom