Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

Dar imejaa, wilaya za mkoa wa pwani zinazopakana na Dar zimeshajaa.

Mkoa wa pwani unanufaika sana na mkoa wa Dar.
Inabidi maendeleo yatambae Bagamoyo, Kibaha na Kisarawe kwa kiwango kilekile kilichoko Dar ili watu wanaotoka mikoani wasijazane Dar ambako ni kudogo mno.
 
Iko hivi ndugu yangu... wakazi hasa wazawa na wale hasilia wamezoea kutembea kutokana na nagure ya kimaeneo na kimaendeleo.

Hapo wakuwalaumu ni wakazi wa dodoma kwanini hawapendi kupanda vyombo vya usafiri. Kama uliliona hilo naimani unaweza kutujulisha je njiani mlipandisha abiria wangapi kwa njia ya Bm Mkapa Sabasaba?

Kwakutafuta faida madereva lazima wahakikishe hesabu yao inapatikana kabla hawajatoka stendi bila hivyo watu watakua kama wamelikodi gari.

Mgogo akiwa na Mua na Kitumbua tuu, hapo KM 10 kama ananyoosha miguu ..... (hahah)
Kama hawana pesa watapandaje
 
Habari zenu wakuu..

Baada ya Kusafiri kwa WIKI nzima kwa kutumia Usafiri wa UMMA.. nimeona niseme tu..

(Experience yangu ni kwa gari za IKULU Chamwino mpaka Sabasaba.. na Sababasaba kwenda B/W Mkapa Hospital)

Nimeona Nililete hili swala huku.. maana nimeshindwa kuvumilia

Kwa wakazi wa Dodoma mtaniunga mkono juu ya hili swala.

#DALADALA..

Hawana HARAKA... yaani gari litakaa Stendi zaidi ya DK 40 likiwa LEVEL SEAT wakisubiri watu wa kusimama ndio Gari liondoke...
(hizo dk 40 ni nyingi mno katika Mzunguko wa MAENDELEO)

bado WASAFIRI.. hata hawalalamiki.. wame RELAX..

(Hii inaonesha ni jinsi gani WATU wa DODOMA ni watu Ambao hawana Shughuli za kufanya ON TIME.. hawazingatii MUDA.)

PILI hili ni jiji lishakuwa Kubwa.. Hivyo hivi vi-Panya vingeondolewa kabisa.. (Visogezwe /Viishie Nje ya Maeneo ya Mjini)

(Ushauri wangu SERIKALI iangalie Namna ya Kuweka miundombinu kama ya UDART.. itasaidia ku boost MAENDELEO huku.. otherwise wafanyakazi wengi ni wa Kutumia Usafiri Binafsi ingawa demand ni ndogo kulingana na WASAFIRI wengine (Mchanganyiko).
sasa mkuu wakitoa vipanya wakileta ma eicher au tata au coaster c wata tumia siku nzima kuja abiria🙌🏿😂😂😂 bora hvo hvo vipanya
 
Nimesoma comment zote nimesikitika sana nilitaka nije ninunue shamba huko lakin naona kama kukata tamaa kwa hali halisi ilivyo
Nunua tu.. For FUTURE plan..

Nunua MASHAMBA na sio SHAMBA moja.. nakushauri fanya hivyoo haraka sana
 
Back
Top Bottom