Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

Aisee yaani umesema kabisa kuna siku natoka hapo sabasaba naenda UDOM mpk BMH. Hawa watu hawana kabisa haraka wana uvivu mpaka wa kufikiri. Gari linajaa wanaanza kumtafuta dereva. Vipanya wavitoe kabisa ni uchafu katika jiji ambalo linatengenezwa kuwa jiji la mfano kwa mujibu wa JPM! Jiji lina wajinga wengi sana hasa katika sekta ya usafiri wa umma.
Mimi sijui kwa nini waliamua kuhamishia serikali dodoma wakati sasa hivi tuna mamabo ya serikali mtandao.Mawazo ya miaka ya 70 unaleta karne ya 21 unasema ni ndoto ya mwalimu Nyerere.DODOMA haiwezi kukua sana sana tumeiua Dar es Salama
 
Hii nimeshangaa sana dodoma, mtu anaweza kusimamisha gari barabarani na akaenda dukani kununua Maji au hata chochote na akarudi na kuendelea huku nyuma yake gari nyingine zikisubiri. Yani watu hawana haraka kabisa, hii ndio dodoma bana
Haa
Unaitwa Ubwanyenye
Wanaendesha Magari Kishamba Hawana Fair Kabisa
Eti Wanakomaa Na Upande Wao, Bodaboda Nazo Shida

Yaani Unaweza Kutoka Kulia Kwenda Kushoto Kwa Maana Ya Kuingia
Labda Barabara Ndogo Hupishwi
 
Hii nimeshangaa sana dodoma, mtu anaweza kusimamisha gari barabarani na akaenda dukani kununua Maji au hata chochote na akarudi na kuendelea huku nyuma yake gari nyingine zikisubiri. Yani watu hawana haraka kabisa, hii ndio dodoma bana
Huu ni upotoshaji.
 
Mimi sijui kwa nini waliamua kuhamishia serikali dodoma wakati sasa hivi tuna mamabo ya serikali mtandao.Mawazo ya miaka ya 70 unaleta karne ya 21 unasema ni ndoto ya mwalimu Nyerere.DODOMA haiwezi kukua sana sana tumeiua Dar es Salama
Dar.. inazidi Kukua.. ule mpng wa kuendeleza Majiji.. umesaidia sana mji unajengeka.. uzur wa Dar watu WACHAKARIKAJI.. so pesa inazunguka mno
 
Watu wangekua wanayawahi magepu kama ni hivyo. Wakazi wa dododma hawana uzoefu na usafiri wa umma kwakua mazoea yakutembea imekua kama jadi..

Kingine kwa wanaokaa maeneo ya karibu na mjini wanatumia bodaboda maan gharama yake ni nafuu sana kuliko gharama yakulisubiri daladala lijae.

Tunakoma root ndefu zisizo na means yakutembea na ni gharama kwa private mfano nane nane benjamini na msalato mpaka st gema.

Ila kwa sisi wa Nkuhungu nikifika bahiroad tuu sijaona daladala nikizama katikati area A nikiibuka Chinangali west home hii hapa.

Hakuna dereva wakuwachelewesha watu maksudi, kubali kataa njiani wakipanda wengi watu watano hiyo ni mormal.
Tulishatoka sabasaba / Udom kipindi ya likizo walishuka watu watatu tuu na hatukupakia mtu mpaka kwa Mkpa.
Unatembea kutoka mjini hadi Nkuhungu? 😵😵
 
Dar.. inazidi Kukua.. ule mpng wa kuendeleza Majiji.. umesaidia sana mji unajengeka.. uzur wa Dar watu WACHAKARIKAJI.. so pesa inazunguka mno
Ni kweli inakua/imepumua baada ya kuondoa magari ya serikali na watumishi wa umma angalau upepo na hali ya hewa imetulia
 
Shida inakuja kwa madereva wazawa wa Dodoma wanaushamba wa kukomaa na site yake. Hawana ukarimu wa kuachiana njia kama dar. Nimeshawakosa wengi sana na jiji likichanganya wategemee majuto.
Hahah.. kwanza huko kuna Madereva au upuuz tu.. Mie nawaangaliaga wanavyofany ujinga nacheka kimoyo moyo.. wacha waje Dsm wafwe
 
Back
Top Bottom