KERO Responded Mfumo wa uombaji leseni Baraza la Madaktari (MCT) unasumbua

KERO Responded Mfumo wa uombaji leseni Baraza la Madaktari (MCT) unasumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni zaidi ya Mwezi sasa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) limebadilisha mfumo wake, sasa website yake imekuwa ina changamoto katika uombaji wa leseni mpya au ku renew ili ku-practice kwenye mwaka wa kifedha huu, changamoto hiyo inaleta hofu pia kwa sisi waombaji wa ajira kuwa shortlisted, huwezi kuwa shortlisted kama leseni ime-expire.

Tunakosa fursa mbalimbali kusafiri nje ya nchi wengine wanakosa Ajira sababu ya expired license.

Majibu ya MCT yapo hapa ~ Baraza la Madaktari Tanzania laongeza muda wa usajili wa madaktari hadi Aprili 30
1773307815628.png

1773307913399.png

photo_2026-03-10_16-59-15 (2).jpg

photo_2026-03-10_16-59-15.jpg
 
Back
Top Bottom