Ndugu wapendwa, Je nikweli kunamfumo wa kutumia udongo wa mfinyanzi kwa kuchanganya na cement kidogo ukapata tofari zitakazo saidia kujenga nyumba kwa Gharama nafuu? Ukitembelea web site Brick and Block Machine Manufacturers | Hydraform wanasema interlocking bircks zinapunguza ghrama za ujenzi, je kunaukweli? nipeni taarifa