Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amefuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA.

Ameagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama ilivyokuwa hapo zamani.

Amedai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani (NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi.
 
Kama ni kweli basi atakuwa amefanya jambo la msingi sana, system ya GPA ilikuwa inachanganya wengi hasa wazazi.
 
Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako ameliagiza Baraza la Mitihani la Taifa Kufuta Mfumo wa GPA katika upangaji wa madaraja ya ufaulu na kuurudisha mfumo wa Division uliokuwa unatumika awali.

Habari zaidi inakuja..
Too good to be true!
 
Back
Top Bottom