Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

Demographic dividend vs Population SI kitu kimoja ndugu. Tulia kwanza naona umeshaanza kupanik.
Mkuu naelewa nilichokiandika kuliko unavyofikiri. Sijakurupuka kuandika
Jenga hoja yako vizuri ili kuonesha udhaifu wa niliyoyaonesha.
Huwa sipaniki kwa mambo madogo kama haya halafu huko kwenye demographic ni viwanja wa nyumbani.
 
Mkuu naelewa nilichokiandika kuliko unavyofikiri. Sijakurupuka kuandika
Jenga hoja yako vizuri ili kuonesha udhaifu wa niliyoyaonesha.
Huwa sipaniki kwa mambo madogo kama haya halafu huko kwenye demographic ni viwanja wa nyumbani.
Huna hoja Bali kiroja
 
Demographic dividend vs Population SI kitu kimoja ndugu. Tulia kwanza naona umeshaanza

Huna hoja Bali kiroja
Unashangaza sana wewe jamaa demographic dividend unayoisemasema hapa ni kukua kwa uchumi wa nchi kunakotokana na kubadilika kwa muundo umri wa watu wake.
Embu tafakari na jaribu kuruhusu akili yako kuelewa. Hivi kukua huko kunakotokana na badiliko la muundo umri wa watu katika Nchi(Demographic dividend) kuna uhusiano gani na sisi Watanzania katika kujifunza juu ya mfumo wa elimu wa watu wa Nchi ya Ufini?.
Unataka kusema hakuna cha kujifunza kwa sababu ya hiyo demographic dividend?.
 
USA ina raia zaidi ya 200M+ na sisi tuna 60M mbona wametuzidi sana ...kama unaangalia kigezo cha idadi ya watu kufanya nchi yao kua bora?
sasa mkuu kwani US, alipata uhuru mwaka gani? unataka ujilinganishe na US ambaye alikuwa observer kwenye mkutano wa kugawa bara la Afrika
 
Huu uzi siyo wa kulinganisha Nchi na Nchi comparative analysis ila ni uzi wa kujifunza kutoka kwa wengine wanachofanya "Case study".
 
Back
Top Bottom