Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,407
- 13,791
Kwa kweli
Kama sijaelewa swali lako chief!
Naomba nieleweshe vizuri kidgo..
Aanha sawa nimeelewa ss, majibu yako yapo sahihi...ni kweli damu huwa inakuwa nyingi sehemu ambayo inafanya kazi wakati huo,Nafikiri anamaanisha kama utakua umelala, damu nyingi inaweza kujikusanya eneo tofauti na inavyoonekana hapo.
Mfano nikiangalia hiyo picha, kwenye ncha za vidole kuna damu nyingi sana, lakini ingeweza kuwa tofauti kama mikono ingekua imeinuliwa juu.
Hapa nawaza kama ingekuwa kwenye lile zoezi letu pendwa mkusanyiko wa damu nyingi ungekuwa wapi?
Mtoa poast amesema hiyo ni picha halisi.Kama sijaelewa swali lako chief!
Naomba nieleweshe vizuri kidgo..
Okay, ngoja aje atueleze hapa...Mtoa poast amesema hiyo ni picha halisi.
Picha inaonesha baadhi ya sehemu hapo inaonekana inauwingi wa damu. Nikauliza je hiyo si reflection ya huyo mtu ktk situation mood aliyokuwa nayo au ndivyo ilivyo kuwa wakati wote damu huwa ina flow hivyo
ndio cpu (central processing unut)Kwa nn kichwani zaidi unafikiri?
hata mtu unapokuwa umelala inawezekana damu ikapungua kichwani au unapokuwa unagegeda ikaongezeka kwenye viungo husikaHuyo mtu alikuwa ktk hali gani? Mi nafkiri kuna hali inayoweza kusababisha damu kupelekwa kwa wingi ktk eneo fulani la mwili. Naomba nifafanuliwe hapo
Mi nadhan hata uwe katika state ipi kichwani damu haiwezi kupungua sababy ya uwepo wa machine kubwa ubongoNi kweli kabisa. Nahisi
hata mtu unapokuwa umelala inawezekana damu ikapungua kichwani au unapokuwa unagegeda ikaongezeka kwenye viungo husika
sio engineer,ni mhandisiHapana sio fundi... ni engineer.