mfumo wa brela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa BRELA unasumbua kutuma barua pepe ya uthibitishaji

    Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini ninapokagua kwenye email yangu hakuna ujumbe wowote unaowasili. Nimejaribu mara nyingi bila...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania BRELA kufanya maboresho ya Mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) Disemba 20 mpaka 23, 2024

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) Dar es Salaam-19 Desemba, 2024 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na wadau wake kuwa inatarajia kufanya maboresho ya miundombinu ya mfumo wake wa usajili kwa njia ya mtandao...
Back
Top Bottom