PROPHET POLY
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 469
- 72
'anywhere is better than here'.....lowasa kwanza..
Unaongea pumba aisee; mfumo utakaomuendesha Lowassa ni katiba ya wananchi yenye maadili ya uongozi na ulinzi wa rasilimali za nchi. Mfumo utakaomungoza Magufuli umikataa katiba ya wananchi na hivyo usitumaini lolote zaidi ya kimbelembele cha kushughulikia wapinzani"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko
Unaongea pumba aisee; mfumo utakaomuendesha Lowassa ni katiba ya wananchi yenye maadili ya uongozi na ulinzi wa rasilimali za nchi. Mfumo utakaomungoza Magufuli umikataa katiba ya wananchi na hivyo usitumaini lolote zaidi ya kimbelembele cha kushughulikia wapinzani
orodha ya hao mapapa uliowataja haiko upinzani tafuta iliko
We Unaumwa Kabisa Yan Na Mshenga Anaachwa Wap?
well said! Magufuli ni mgombea kupitia ccm ambae , atafanya watanzania wanachotaka na sio genge la wahujumu uchumi wanavyotaka, kwa sasa ccm imeamua kujibrand upya na kurudia misingi wakati upinzani wao wakiharibu hata kabla ya kushika dola
Mkimteua huku, mimi nahama. Wakimteua kule naenda kumwunga mkono. Mwaka huu wengi wameacha kutafakari mambo kwa undani, wamechochewa hasira kwa manufaa ya wapiga dili. Wengi ni vijana, hata wakionywa na wazee wanaendelea kuziba masikio, wanafikiri "Majuto ni mjukuu" ni kijana mwema! CHUKUA TAHADHARI.
Ujaenda deep mikataba iliyo sainiwa na WACHINA unaifahamu? na ni mtu gani ndani ya ccm aliyemzuia?
Twiga kupanda ndege?
Na majina yote ya papa wauza madawa ya kulevya
Escro
Mikataba feki
big no! Lowassa atosha hutaki lia!